JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

  Report Post
  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 21 to 40 of 77
  1. assadsyria3's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th April 2013
   Posts : 2,625
   Rep Power : 779
   Likes Received
   260
   Likes Given
   242

   Default picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   HUYU NDIE MBUNGE MAARUFU WA CHADEMA ALIEKATISHA ZIARA YAKE YA DOMINICA REPUBLIC KWA ODA YA MKUU WA KAMBI YA UPNZANI BUNGENI
   ACT KIMBILIO LA WANYONGE NA WAPENDA DEMOKRASIA DHIDI YA WAHAFIDHINA WA CHADEMA

  2. Victoire's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2008
   Posts : 3,496
   Rep Power : 256159
   Likes Received
   1007
   Likes Given
   942

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Huyo ndo anaibenjua amri ya sita na MBOWE,PENZI KITOVU CHA UZEMBE.

  3. #22
   Mkya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th December 2013
   Posts : 264
   Rep Power : 370
   Likes Received
   35
   Likes Given
   2

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Hivi vitimaluuum ni chakula cha wakubwa ccm na chadema

   wakubwa mnafaidi bhana

  4. Kigogo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2007
   Location : Calabash
   Posts : 13,252
   Rep Power : 127919
   Likes Received
   2021
   Likes Given
   643

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Quote By MSALANI View Post
   Mbowe: Penzi kitovu cha uzembe.
   Cc vick kamatta
   ______________________________ _
   Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....

  5. Earthmover's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th September 2012
   Posts : 3,624
   Rep Power : 186864
   Likes Received
   977
   Likes Given
   992

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Quote By B.G TANTAWI View Post
   Kati ya Mkulu na KUB nani zaidi? linganisha huyo aliyeshika kijitabu na mkono mmoja ameshika sikio na JOYCE M.

   ...maharage ya Mbeya!!!

  6. #25
   sawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Posts : 1,898
   Rep Power : 857
   Likes Received
   321
   Likes Given
   211

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   ccm mnamabo kweli kweli amumuonelei PINDI CHANA aliye katiza ziara amelipwa mamilioni aka badili safari na kwenda huko anapopajua yeye,na yule mbunge wenu DR Mwanjelwa aliyeiba mkufu ubelgji?ccm ni genge la wauza unga na majambazi kinana amekwenda TUNDURU akuzungumzia kuhusu ujangili kisa yeye ndiye muhusika mkuu mnalo mwaka huu kama kiseke ahahahaha

  7. JF SMS Swahili

  8. christine ibrahim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2012
   Location : earth
   Posts : 6,150
   Rep Power : 540037
   Likes Received
   1688
   Likes Given
   6302

   Default

   Quote By B.G TANTAWI View Post
   Kati ya Mkulu na KUB nani zaidi? linganisha huyo aliyeshika kijitabu na mkono mmoja ameshika sikio na JOYCE M.
   Halafu wanapiga kelele bungeni vijana hawana maadili!!!
   yatatoka wapi km viongozi wenyewe ndo hawa wavaa vikuku!!?
   halafu huyo mwingine amejichubua !!!

  9. #27
   sawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Posts : 1,898
   Rep Power : 857
   Likes Received
   321
   Likes Given
   211

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   hoya ni mfumo wa bunge ni mbovu na unaruhusu ufisadi,hivi mbona amzungumzii maziwa ya kunywa asubuhi yanatumia mabilioni?tanzania ushabiki unatumaliza hasa vijana wenzetu wa lumumba vijana maarufu wa buku7

  10. Lyandembela1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th May 2013
   Location : Near by
   Posts : 264
   Rep Power : 401
   Likes Received
   94
   Likes Given
   1

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA
   Majina tafadhali wadau
   If you can't kill your enemy, Whether buy him or join him"

  11. LexAid's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th July 2011
   Posts : 1,850
   Rep Power : 816
   Likes Received
   712
   Likes Given
   1240

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Quote By B.G TANTAWI View Post
   Kati ya Mkulu na KUB nani zaidi? linganisha huyo aliyeshika kijitabu na mkono mmoja ameshika sikio na JOYCE M.
   Hizi cheni miguuni na skirt zilizoishia juu ya magoti zinaruhusiwa ndani ya bunge? Mambo yamebalika tangu enzi zetu!

  12. iPad ya Apple's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 21st July 2013
   Location : Wherever am Needed
   Posts : 326
   Rep Power : 0
   Likes Received
   126
   Likes Given
   38

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Quote By B.G TANTAWI View Post
   Kati ya Mkulu na KUB nani zaidi? linganisha huyo aliyeshika kijitabu na mkono mmoja ameshika sikio na JOYCE M.

   Hivi babu seya alibambikiwa kesi ya ubakaji na nani kweli? Anaitwa baba..........?

  13. nguvumali's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 3rd September 2009
   Location : nimerudi Mwanza
   Posts : 4,717
   Rep Power : 1484
   Likes Received
   977
   Likes Given
   308

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Huwezi kuwa mwanaccm bado ukabaki timamu...
   Red Scorpion likes this.

  14. maweni's Avatar
   Member Array
   Join Date : 14th March 2012
   Posts : 83
   Rep Power : 426
   Likes Received
   10
   Likes Given
   25

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Quote By assadsyria3 View Post
   HUYU NDIE MBUNGE MAARUFU WA CHADEMA ALIEKATISHA ZIARA YAKE YA DOMINICA REPUBLIC KWA ODA YA MKUU WA KAMBI YA UPNZANI BUNGENI
   Sasa ulitaka akatishe ziara kwa amri yako? Hujuwi Mbowe ni bosi wake? Kwani angekuwa ni Mnyika amekatishwa ziara ungebweka hapa kama mbwa? Mwacheni Mwigulu akaandae mabomu yake ya kulipulia raia wema.
   Red Scorpion likes this.

  15. KakaJambazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2009
   Posts : 7,522
   Rep Power : 834787
   Likes Received
   2426
   Likes Given
   1973

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Quote By B.G TANTAWI View Post
   Kati ya Mkulu na KUB nani zaidi? linganisha huyo aliyeshika kijitabu na mkono mmoja ameshika sikio na JOYCE M.
   Mbona ana pete sasa?!
   You Want A Man With A Range Rover While Your Dad Has A Corolla... Be Humble Like Your Mother!!!

  16. BHULULU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Posts : 4,461
   Rep Power : 30624
   Likes Received
   1352
   Likes Given
   1051

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Quote By assadsyria3 View Post
   ukishaoa hutakiwi kuendelea kutamani vimwana
   Eti unasema??Uwiiiiiiiiiiiiii!Jama ni njooni muone huku kioja!!!!Vipi ile Nchembalaga Igunguniasis Earthmover

  17. Arushaone's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 31st March 2012
   Location : Arusha
   Posts : 12,000
   Rep Power : 70801803
   Likes Received
   9476
   Likes Given
   24247

   Default

   Quote By iPad ya Apple View Post
   Hivi babu seya alibambikiwa kesi ya ubakaji na nani kweli? Anaitwa baba..........?
   ....R1
   Mc David likes this.

  18. tofali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th March 2013
   Location : DSM
   Posts : 1,518
   Rep Power : 125357
   Likes Received
   525
   Likes Given
   150

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Quote By LexAid View Post
   Hizi cheni miguuni na skirt zilizoishia juu ya magoti zinaruhusiwa ndani ya bunge? Mambo yamebalika tangu enzi zetu!
   Hawa c ni km machangudoa tuu...machangudoa wako kila sehemu..mtaani..ofisini..na bungeni ndio hao..viti maalum n chakula ya wakubwa....ukicheki hawana kitu kichwani
   LexAid likes this.

  19. maweni's Avatar
   Member Array
   Join Date : 14th March 2012
   Posts : 83
   Rep Power : 426
   Likes Received
   10
   Likes Given
   25

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Quote By assadsyria3 View Post
   HUYU NDIE MBUNGE MAARUFU WA CHADEMA ALIEKATISHA ZIARA YAKE YA DOMINICA REPUBLIC KWA ODA YA MKUU WA KAMBI YA UPNZANI BUNGENI
   Shonza upo? Rudi chadema maana huko wanakuchezea tu kama kimpira cha makaratasi, kiperedosi. Eti wanasema wewe umekuwa kiblanketi mikutanoni!

  20. Earthmover's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th September 2012
   Posts : 3,624
   Rep Power : 186864
   Likes Received
   977
   Likes Given
   992

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Quote By christine ibrahim View Post
   Halafu wanapiga kelele bungeni vijana hawana maadili!!!
   yatatoka wapi km viongozi wenyewe ndo hawa wavaa vikuku!!?
   halafu huyo mwingine amejichubua !!!

   ...Mkuu vikuku ni viashiria vya mombasa ....HIZO NI MELI!!!

  21. Chakaza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2007
   Location : everywhere
   Posts : 5,731
   Rep Power : 53419
   Likes Received
   1959
   Likes Given
   1282

   Default Re: picha: mbunge maarufu JOYCE MUKYA

   Quote By BAK View Post
   Umeona eeh!!! Buku 7 hoja SIFURI!!! Pumba kama hizi wao ndio wanaziweza sana.
   Tena subiri utaona thread hiyo itadumu mpaka kesho kutwa. Watatoka watarudi wamo tuu. Bila kila mtu kuchangia post 60 hakijaeleweka bado. Mkuu BAK waone jamaa hapo wako kazini jioni wanakusanya mpunga 7 thou, maisha yanaenda akili inadumaa.Click image for larger version. 

Name:	ImageUploadedByJamiiForums1387371794.303886.jpg 
Views:	0 
Size:	45.8 KB 
ID:	127501
   BAK likes this.
   Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi

  22. sexologist's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th December 2010
   Posts : 1,234
   Rep Power : 128793
   Likes Received
   258
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By B.G TANTAWI View Post
   Kati ya Mkulu na KUB nani zaidi? linganisha huyo aliyeshika kijitabu na mkono mmoja ameshika sikio na JOYCE M.
   Hivi kuvaa cheni miguuni maana yake si ni kwamba muhusika ni muuza papuchi au??

  23. JF SMS Swahili

  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Similar Topics

  1. Replies: 0
   Last Post: 28th December 2011, 07:53
  2. Replies: 14
   Last Post: 25th December 2011, 13:08

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...