JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

  Report Post
  Results 1 to 14 of 14
  1. Kivumah's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th January 2008
   Posts : 2,299
   Rep Power : 5385
   Likes Received
   801
   Likes Given
   760

   Default Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

   Sware likes this.


  2. Kennedy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2011
   Location : Everywhere
   Posts : 6,211
   Rep Power : 701541
   Likes Received
   1215
   Likes Given
   2774

   Default Re: Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

   Duh !


   Bonge la kitambi huku kakenua kidogo.

  3. Nduka Original's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd August 2011
   Posts : 725
   Rep Power : 587
   Likes Received
   265
   Likes Given
   2

   Default Re: Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

   Du, wamepauka!!!

  4. environmental's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th October 2010
   Posts : 961
   Rep Power : 677
   Likes Received
   108
   Likes Given
   574

   Default Re: Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

   Leta ushahidi wako ambao ulisema utaupeleka mpaka mbinguni.Wape polisi.Polisi wa Tanzania lazima wapelekwe Dafur kulinda amani huko ,ili wakajifunze kutenda haki huko.

  5. environmental's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th October 2010
   Posts : 961
   Rep Power : 677
   Likes Received
   108
   Likes Given
   574

   Default Re: Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

   Inawezekana ni mjamzito

  6. JF SMS Swahili

  7. taamu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2012
   Location : kusadikika
   Posts : 2,602
   Rep Power : 242793
   Likes Received
   681
   Likes Given
   186

   Default Re: Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

   Afya zao hazifanani na madaraka ya baba yao.

  8. PakaJimmy's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,172
   Rep Power : 16106669
   Likes Received
   8044
   Likes Given
   3578

   Default

   Quote By environmental View Post
   Inawezekana ni mjamzito
   By the look of things hiyo ngoma inakimbilia miezi nane!
   environmental likes this.

  9. TIMING's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Roaming...
   Posts : 21,523
   Rep Power : 922891
   Likes Received
   6844
   Likes Given
   7882

   Default Re: Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

   he has a beautiful family...

   Pamoja na tofauti zetu za kisiasa (and of course jamaa yuko responsible na damu za baadhi ya watu kutokana na kauli zake), tuwaweke wanawe na mkewe pembeni ya haya

   watoto ni malaika na mkewe ni mhanga tu wa mwanasiasa dhalimu
   ....Time is the wisest counselor !!!

  10. Django's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th April 2013
   Location : Dar es salaam
   Posts : 335
   Rep Power : 421
   Likes Received
   135
   Likes Given
   91

   Default Re: Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

   Namuonea huruma huyo mke wake maana jamaa atakuwa anamajungu mpaka kwa mke wake
   KAMA JAMII HAINA WALA HAIONI MATUMAINI KWA VIONGOZI WAO HUKU HAKI IKIMINYWA, AMANI HAIWEZI KUDUMU

  11. nyabhingi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2010
   Posts : 5,784
   Rep Power : 1851
   Likes Received
   1712
   Likes Given
   3276

   Default Re: Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

   kumbe hili baradhuli lina mke na watoto!!!huyo aliyembeba ni copy and paste ya savimbi,asije kurithi roho mbaya ya baba..
   Daudi Mchambuzi likes this.
   PRESS RELEASE:Rais Barack Obama amkumbatia rais kikwete na kumuita rafiki-Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano Ikulu.

  12. Daudi Mchambuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Location : Arusha
   Posts : 7,848
   Rep Power : 24844
   Likes Received
   3662
   Likes Given
   18469

   Default Re: Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

   huyu muuaji ataiponza hii familia yake isiyo na hatia.
   "Wazee wanaounga mkono muungano wa serikali 3 wanasubiri kufa" by @Nape Nnauye

  13. last man standing's Avatar
   Member Array
   Join Date : 3rd April 2012
   Location : Dar es salaam
   Posts : 79
   Rep Power : 423
   Likes Received
   13
   Likes Given
   38

   Default Re: Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

   Quote By Kivumah View Post
   Duuuuuuuuuuuuuuuuu, siasa mpaka kwenye familia, anaonekana hajazoea kabisa kubeba mtoto, kafanya kutafuta pozi la kupigia picha tu aonekane kwenye jamii anamsaidia mkewe loh. kumbe gaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mzee wa msituniii.

  14. Chemiker's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th June 2013
   Location : Tansania
   Posts : 485
   Rep Power : 442
   Likes Received
   93
   Likes Given
   30

   Default Re: Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

   Naona dalili za 'Beriberi' kwa Jamaa!

   NB: Beriberi=Kiribatumbo

   c.c PakaJimmy ,Kennedy, Daudi Mchambuzi , last man standing
   Faculty of Creative Imagination is the direct link between the finite mind of a man and infinite intelligence.

  15. jamii wanted's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 23rd July 2013
   Posts : 5
   Rep Power : 341
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Picha: Mwigulu Nchemba na familia yake

   nmechoshwa na habari za mwingulu nchemba... we mk*** nin.. mana inaonekana uanmpenda sana

  16. JF SMS Swahili

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...