JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

  Report Post
  Results 1 to 15 of 15
  1. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,463
   Rep Power : 429504293
   Likes Received
   22037
   Likes Given
   68192

   Default Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

   Elisa Joseph tells her story to the camera.

   From a difficult family background in rural Iringa, Elisa came to town when she was thirteen years old, following promises for a job and the possibility to go to school. But the household she was sold to for 10,000 Shillings never paid her a salary, and after two years she was raped by the husband in the family. She was accused of theft and thrown into prison for three months. Fifteen years old and with nowhere to go she ended up as a sex worker in Dar es Saalaam's infamous Uwanja wa Fisi (Hyena Square). Elisa managed to get out of prostitution with the help of KIWOHEDE, an NGO working with rehabilitation of child sex workers and domestic workers. When she found out she was infected with HIV, she decided to be open about it in order to help others. In this film we meet her as she works with advising other girls in a container office in the middle of Hyena Square. Elisa wants to be an example that it is possible to start fresh and lead a meaningful life in spite of the virus. She loves playing football and is hoping to become a star. Meet her, and a bunch of other colourful people of Hyena Square, in this half-hour documentary full of tears and laughter and contemporary Tanzanian music. Hyena Square in 2006   Mar 11
   New documentary under production

   Hadija at Lutindi Maweni Farm is working on a new documentary, a story that begins where Hyena Square ended, with Hadija struggling with her heroin addiction at the mental hospital in Lutindi. There she meets Edward, a bright Unga shoot: Elisa, Edward, Hadija and touristsyoung man from the best of families, at the opposite end of the Tanzanian social scale. We follow them as they return to Dar es Salaam and try to build a new life.

  2. TingTing's Avatar
   Member Array
   Join Date : 20th December 2009
   Location : Kanda ya Ziwa
   Posts : 94
   Rep Power : 628
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Hyena Square Uwanja Wa Fisi

   Quote By MziziMkavu View Post
   Elisa Joseph tells her story to the camera.

   From a difficult family background in rural Iringa, Elisa came to town when she was thirteen years old, following promises for a job and the possibility to go to school. But the household she was sold to for 10,000 Shillings never paid her a salary, and after two years she was raped by the husband in the family. She was accused of theft and thrown into prison for three months. Fifteen years old and with nowhere to go she ended up as a sex worker in Dar es Saalaam's infamous Uwanja wa Fisi (Hyena Square). Elisa managed to get out of prostitution with the help of KIWOHEDE, an NGO working with rehabilitation of child sex workers and domestic workers. When she found out she was infected with HIV, she decided to be open about it in order to help others. In this film we meet her as she works with advising other girls in a container office in the middle of Hyena Square. Elisa wants to be an example that it is possible to start fresh and lead a meaningful life in spite of the virus. She loves playing football and is hoping to become a star. Meet her, and a bunch of other colourful people of Hyena Square, in this half-hour documentary full of tears and laughter and contemporary Tanzanian music. Hyena Square in 2006   Mar 11
   New documentary under production

   Hadija at Lutindi Maweni Farm is working on a new documentary, a story that begins where Hyena Square ended, with Hadija struggling with her heroin addiction at the mental hospital in Lutindi. There she meets Edward, a bright Unga shoot: Elisa, Edward, Hadija and touristsyoung man from the best of families, at the opposite end of the Tanzanian social scale. We follow them as they return to Dar es Salaam and try to build a new life.

   Inasikitisha sana lakini ndivyo hivyo tena. Kupunguza matatizo haya inabidi hela zinazotumiwa sehemu ambazo ziso zilengeeshwe katika mambo ya afya yaliyopo katika jamii yetu.
   tommie

  3. PakaJimmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,256
   Rep Power : 16106769
   Likes Received
   8178
   Likes Given
   3665

   Default Re: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

   Too Bad!

   Hawa dada zangu na Geoff wanasikitisha!
   All in all, huyu dada namsifu sana , maana kwa sasa yuko bold, na ameshayatumia vizuri makosa yake ya zamani, japo kwa mtizamo wa wengine wanaweza waone kama ni almost too late.

   Keep up dada, unawaokoa wengi sana.
   "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
   What a man is, survives him... it can never be buried"
   (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
   [email protected]

  4. #4
   Teamo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2009
   Location : KIJIWE SAMRI-BOM BOM
   Posts : 12,300
   Rep Power : 12056
   Likes Received
   914
   Likes Given
   678

   Default Re: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

   Quote By PakaJimmy View Post
   Too Bad!

   Hawa dada zangu na Geoff wanasikitisha!
   All in all, huyu dada namsifu sana , maana kwa sasa yuko bold, na ameshayatumia vizuri makosa yake ya zamani, japo kwa mtizamo wa wengine wanaweza waone kama ni almost too late.

   Keep up dada, unawaokoa wengi sana.
   hehehe!TOO BAD BRODA:D
   '!....Ahadi za Kiongozi wako Zinatekelezekaa?..SASA NI WAKATI WA UWAJIBIKAJI....!'

  5. #5
   Pape's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2008
   Posts : 5,549
   Rep Power : 1772
   Likes Received
   37
   Likes Given
   0

   Default Re: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

   i feel sorry for her...

  6. kakuruvi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd September 2009
   Posts : 639
   Rep Power : 757
   Likes Received
   145
   Likes Given
   73

   Default Re: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

   Quote By Geoff View Post
   hehehe!TOO BAD BRODA:D
   Namfananisha na yule mkosaji aliyetubu siku yake ya mwisho pale msalabani, Yesu akamwambia utakuwa nami Mbinguni leo hii, Abarikiwe sana kwani atasaidia wengi.

  7. Irizar's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 6th October 2009
   Posts : 218
   Rep Power : 664
   Likes Received
   14
   Likes Given
   0

   Default Re: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

   Pole dada ila unatia moyo sana, Mungu awe nawe tubu na utauona ufalme wa Bwana. Yote maisha.

  8. #8
   RayB's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2009
   Location : Jukwaa la Kikubwa
   Posts : 2,661
   Rep Power : 1145
   Likes Received
   51
   Likes Given
   5

   Default Re: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

   Nafikri wakati umefika kwa serikali kulivalia njuga swal zima la uwanja wa fisi manake ni muda mrefu linafahamika sana lakini hakuna hatua yoyote ya maanna iliyofanyka katika kudhibiti vitendo hivi pale na kila siku kampeni zenye kutumia mahela mengi juu ya ukimwi zinamea kama uyoga lakini target ambazo ziko wazi wala haziguswi

  9. Fidel80's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 21,971
   Rep Power : 127370
   Likes Received
   4156
   Likes Given
   1349

   Default Re: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

   Kesho nitaenda kufanya utafiti uwanja wa fisi nitakuja na report mpya.
   **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
   Chuda Raha
   Email: [email protected]

  10. #10
   RayB's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2009
   Location : Jukwaa la Kikubwa
   Posts : 2,661
   Rep Power : 1145
   Likes Received
   51
   Likes Given
   5

   Default Re: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

   Halafu Mzizimkavu hii thread yenye theme ya uwanja wa fisi inajitosheleza sana kitopic ijadiliwa, iundie thread ktk section nyingine tupate mawazo kwanini serikali inashindwa kulifanyia kazi hili swala?

  11. Tumain's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2009
   Posts : 3,213
   Rep Power : 1277
   Likes Received
   19
   Likes Given
   0

   Default Re: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

   this is shame in all standard to leaders, na wananchi wote.
   " Fear and Surrender are not the options for me"

  12. Fisherscom's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th March 2008
   Location : Nyanda Za Juu
   Posts : 987
   Rep Power : 35484687
   Likes Received
   179
   Likes Given
   213

   Default Re: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

   Niliwahi ona special program moja kwenye Tbc mwaka jana mwishoni inaitwa 'okoa uwanja wa fisi' na eneo hilo likapewa jina jipya na kuitwa 'uwanja wa sifa' sijui kampeni hiyo imefikia wapi hadi sasa. Kwa ujumla ilikuwa nzuri na ilikuwa ime 'base' kwenye matatizo halisi yaliyopo i.e matumizi ya unga,ukahaba,pombe etc. At the long run nadhani itafanikiwa.

  13. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,463
   Rep Power : 429504293
   Likes Received
   22037
   Likes Given
   68192

   Default Re: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi   Marufuku UWANJA WA262 x 350 - 20k - jpg
   globalpublisherstz.com

   Uwanja wa Fisi 1540 x 405 - 63k - jpg
   maweni.com

   Marufuku UWANJA WA262 x 350 - 14k - jpg
   globalpublisherstz.com

   kwamba hapo Uwanja wa589 x 392 - 85k - jpg
   bongocelebrity...

   katika Uwanja wa540 x 405 - 79k - jpg
   maweni.com

   at Uwanja wa Fisi566 x 614 - 45k - jpg
   tzaffairs.org   liitwalo Uwanja wa587 x 392 - 155k - jpg
   bongocelebrity...

   Uwanja wa Fisi400 x 330 - 46k - jpg
   rsmiruko.blogspot.com

   Chama Cha Watanzania Oslo400 x 300 - 32k - jpg
   watanzaniaoslo...

   Ndani Ya Uwanja Wa512 x 384 - 35k - jpg
   michuzijr2.wordpress.com

   ila uwanja wa fisi400 x 300 - 21k - jpg
   patastories.blogspot.com

   uwanja wa Fisi566 x 614 - 91k - jpg
   fotobaraza.ning.com
  14. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,463
   Rep Power : 429504293
   Likes Received
   22037
   Likes Given
   68192

   Default Re: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

   Licha ya Serikali kupiga Marufuku UWANJA WA FISI UFUSKA MTUPU!

   risasi mchanganyiko
   Waandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita walitinga katika maeneo hayo usiku na kumshuhudia changudoa mmoja akikata ‘mauno’ huku akichojoa nguo ikiwa ni njia mojawapo ya kuwavutia wateja.

   Changudoa huyo baada ya kuwaona waandishi wetu alianza kutoa nguo moja baada ya nyingine huku akitaja gharama za huduma ya ngono anayotoa kwa muda mfupi na kwa siku nzima ambapo wana habari wetu walimpiga picha kadhaa na kuondoka zao.

   Kufuatia hali hiyo, waandishi wetu waliamua kufanya mahojiano na wakazi wa eneo hilo ambapo walisema kuwa, vitendo vinavyofanyika Uwanja wa Fisi usiku ni vya ufuska mtupu.

   “Asikwambie mtu, Uwanja wa Fisi ni ufuska mtupu usiku, watu wanafanya ngono zembe bila woga kutokana na gharama za mipira ya kiume kuwa juu kuliko malipo wanayotaka machangudoa kulipwa baada ya kutoa huduma yaw ngono.

   “Inasikitisha, lazima jitihada za haraka zifanyike kukomesha ufuska unaoendela la sivyo ukimwi utazidi kuenea kila kukicha,” alisema mkazi mmjoa aliyejitambulisha kwa jina moja la Haroun.

   Haroun aliongeza kuwa, ili kukomesha kabisa ufuska katika eneo hilo wanamuomba mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kufika Uwanja wa Fisi kwa kushtukiza majira ya jioni na kujionea ufuska unaoendelea.

   Waandishi wetu walimfuata Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo, Ngande Ballo kutaka kuzungumzia hali hiyo ya kushamiri kwa vitendo vya ufuska licha ya kupigwa marufuku na kusema anachojua yeye ni kuwa eneo hilo ni safi.
   http://images.google.com/imgres?imgu...a%3DX%26um%3D1

  15. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,463
   Rep Power : 429504293
   Likes Received
   22037
   Likes Given
   68192

   Default Re: Hyena Square - Uwanja Wa Fisi

   KELLY ATINGA UWANJA WA FISI

   photos
   Na Edna Titus
   Msanii maarufu wa Marekani Kelly Rowland, ametinga uwanja wa fisi Manzese Dar es salaam jioni ya leo baada ya kusikia sifa za maeneo hayo ya uswahilini tangu akiwa USA. Msanii huyo ametua nchini kwa tiketi ya MTV kupitia taasisi yake inayojishughulisha na kampeni za kupambana na Ukwimwi (Staying Alive Foundation) ya nchini Marekani, Kelly akiwa balozi wake. Akiwa Uwanja wa Fisi, ambako kunasifika kwa ufuska wa kupindukia na rate kubwa ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa wasichana wadogo, Kelly alitembelea NGO ya EYG (Elizabeth Youth Group) inayojishughulisha na kutoa misaada ya elimu ya HIV/AIDS, uchangudoa, ulevi pamoja na uvutaji bangi kwa vijana nchini.

   http://www.globalpublisherstz.com/20...a_wa_fisi.html

  Similar Topics

  1. Tanzania--Nchi ya Fisi Mla maskini
   By kayundi2 in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 0
   Last Post: 15th March 2011, 12:59
  2. Mahakamani kwa kutapeli FISI.
   By Isaac in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
   Replies: 7
   Last Post: 7th November 2010, 06:23
  3. Break Down a.k.a FISI
   By Bujibuji in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 9
   Last Post: 27th September 2010, 17:46
  4. Hyena Killer
   By BAK in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 3
   Last Post: 2nd October 2007, 23:42
  5. Fisi ala mtu, abakiza kichwa
   By Kakalende in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 2
   Last Post: 5th September 2007, 17:14

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...