JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

  Report Post
  Page 5 of 5 FirstFirst ... 345
  Results 81 to 93 of 93
  1. Yo Yo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2008
   Posts : 11,193
   Rep Power : 23060
   Likes Received
   1464
   Likes Given
   2625

   Default Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

   Mmoja wa washabiki wa muziki wa kizazi kipya ambaye alivaa vazi lililoacha ------ nje....

   Shabiki huyo alipanda jukwaani kumkumbatia msanii maarufu nchini , Ommy Dimpoz wakati alipokuwa akitoa burudani katika mashindano ya Redds Miss Tabora.
   Tukio hilo la aibu lilitokea mbele ya wabunge....   Mbunge wa Jimbo la Sengerema Bw.William Ngereja akiwa na Diwani wa kata ya Kitete manispaa ya Tabora Bw.Daniel Mhina ambaye alikuwa MC katika onesho hilo lililofanyika katika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora.

   ...kuwa na baba maskini ni mipango ya Mungu ila kuwa na baba mkwe maskini ni ujinga wako mwenyewe.....

  2. Ally Kombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2010
   Location : Dar es salaam
   Posts : 9,012
   Rep Power : 2044
   Likes Received
   1586
   Likes Given
   418

   Default

   Quote By kimeloki View Post
   wote wamepotoka
   'Hakika wakosefu wamo katika upotofu na wazimu'
   Qur'an:Al Qamaar : 47

  3. MBWA WA MANZESE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th March 2013
   Posts : 1,263
   Rep Power : 637
   Likes Received
   446
   Likes Given
   558

   Default Re: Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

   Quote By Ally Kombo View Post
   Nusura haijawifikia hao !
   hiyo kitu yenu si nusura ni balaa, wako happy sasa hivi ukifika huo uzushi ni explosion kwenda mbele kama pakstan
   Better give your path to a dog than be bitten by him in contesting for the right. Even killing the dog would not cure the bite.

  4. Ally Kombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2010
   Location : Dar es salaam
   Posts : 9,012
   Rep Power : 2044
   Likes Received
   1586
   Likes Given
   418

   Default

   Quote By MBWA WA MANZESE View Post
   hiyo kitu yenu si nusura ni balaa, wako happy sasa hivi ukifika huo uzushi ni explosion kwenda mbele kama pakstan
   Hiyo stori niliiona BBC in full ! ..........hao jamaa ni wala watu pia !
   Bora watu wa Vanuatu !
   Tatizo hujui maana ya 'nusura' mbwa wa manzese.
   Kwani maisha wanayo ishi ni bora ya 'mbwa wa manzese'
   Hiyo ni shani ya Mwenyezi Mungu ili ujilinganishe ulie "amini" na asiye amini aka kafiri !..............sawa na kipofu na anae ona, abadan hawawezi kuwa sawa.

  5. FirstLady1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2009
   Location : Mama Mwenye Nyumba
   Posts : 15,748
   Rep Power : 85937791
   Likes Received
   4154
   Likes Given
   7002

   Default Re: Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

   Dah huyo atakuwa alikura Bange kwanza kujitoa fahamu aibu tupu
   No one is in charge of your happiness except you...
   God time is the best..
   Tupo wangapi?

  6. REYRO's Avatar
   Member Array
   Join Date : 13th August 2012
   Posts : 42
   Rep Power : 423
   Likes Received
   3
   Likes Given
   2

   Default Re: Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

   kubabek mpododo njeeeee

  7. Nyalotsi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2011
   Posts : 4,030
   Rep Power : 5291942
   Likes Received
   1231
   Likes Given
   988

   Default Re: Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

   hawa ndo dada zetu wa siku hizi. chupi hawavai na wanavaa vinguo vinavyoishia kiunoni. namshukuru Mungu nimekua dada zangu wote wakiwa wazee. pumbavu zenu wote wenye akili kama ya huyu malaya.

  8. Dopas's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th August 2010
   Posts : 751
   Rep Power : 669
   Likes Received
   127
   Likes Given
   92

   Default Re: Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

   Si ndo wanafurahia kuyatazama hayo makalio.... Si tulisikia Dodoma eti waheshi..wa walishindana kuingiza wekundu wa msimbazi kwenye river between ya macd kutoka kenya. Si ajabu nyumbani kwao siku hiyo familia ililala njaa, huko yeye ana hela hadi ya kuingiza kwenye NNNli wa cd.

  9. Mshawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th September 2011
   Location : Here
   Posts : 599
   Rep Power : 583
   Likes Received
   134
   Likes Given
   155

   Default Re: Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

   Hiyo picha ya 3 Ngeleja na huyo diwani wanaonekana wazi wazi wanachokisema mioyoni mwao,...... na hii si kwa Ngeleja tu bali viongozi walio wengi na ndio maana msimu wa bunge dodoma inakuwa na idadi kubwa sana ya wauza nyuchi....

  10. Straddler's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2009
   Posts : 701
   Rep Power : 9205
   Likes Received
   161
   Likes Given
   214

   Default Re: Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

   Quote By Yo Yo View Post

   Mmoja wa washabiki wa muziki wa kizazi kipya ambaye alivaa vazi lililoacha ------ nje....

   Shabiki huyo alipanda jukwaani kumkumbatia msanii maarufu nchini , Ommy Dimpoz wakati alipokuwa akitoa burudani katika mashindano ya Redds Miss Tabora.
   Tukio hilo la aibu lilitokea mbele ya wabunge....   Mbunge wa Jimbo la Sengerema Bw.William Ngereja akiwa na Diwani wa kata ya Kitete manispaa ya Tabora Bw.Daniel Mhina ambaye alikuwa MC katika onesho hilo lililofanyika katika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora.

   Unalalamika, wakati waziri mwenyewe amefurahi.
   Kwa taarifa yako, huo sio uchafu siku hizi. Inaitwa fasheni. Au kwenda na wakati.
   In my country we go to prison first, then become President - Nelson Mandela.

  11. Marumia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2012
   Location : MASOKA
   Posts : 622
   Rep Power : 722
   Likes Received
   199
   Likes Given
   1117

   Default Re: Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

   Quote By Kennedy View Post
   Wote wameoza na kupungukiwa Utukufu
   wa Mungu.
   Sawa kabisa Mkuu bore ukose vyote lakini si Utukufu wa Mungu....

  12. Marumia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2012
   Location : MASOKA
   Posts : 622
   Rep Power : 722
   Likes Received
   199
   Likes Given
   1117

   Default Re: Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

   Quote By m_kishuri View Post
   Duh! Bucha lote nje!
   Mkuu umetisha lazima utakuwa Comedian mzuri tuu!

  13. Marumia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2012
   Location : MASOKA
   Posts : 622
   Rep Power : 722
   Likes Received
   199
   Likes Given
   1117

   Default Re: Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

   Wasanii kazi mnayo!

  14. SHIEKA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th December 2011
   Location : Moshi
   Posts : 4,621
   Rep Power : 279816602
   Likes Received
   2043
   Likes Given
   1757

   Default Re: Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

   Mpiga picha alifanya makusudi kabisa kukaa chini ya jukwaa na kutezama maungo ya ndani ya huyo mdada aliyekuwa kakaa juu yake.Mpiga picha ndo mwenye matatizo siyo huyo dada!
   Ukiona mtu anaishabikia na kuitetea sana CCM ujue kwamba anafaidika na ufisadi,
   rushwa na dili za ujanjaujanja zisizokuwa na leseni wala kulipiwa kodi.Wamejaribu rushwa wameweza wanasonga mbele kwa biashara ya madawa ya kulevya na pembe za ndovu!  Page 5 of 5 FirstFirst ... 345

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...