JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

  Report Post
  Page 3 of 3 FirstFirst 123
  Results 41 to 57 of 57
  1. BAOBAO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2012
   Posts : 1,493
   Rep Power : 762
   Likes Received
   313
   Likes Given
   156

   Thumbs up Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013  2. Donnie Charlie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2009
   Location : Gotham City
   Posts : 5,681
   Rep Power : 90272841
   Likes Received
   1439
   Likes Given
   2301

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   cc: lutamyo
   Don't Ever Give Up If You Still Want to try, Don't Ever Settle for an Answer If You Still Want to Know.

  3. BAOBAO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2012
   Posts : 1,493
   Rep Power : 762
   Likes Received
   313
   Likes Given
   156

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   Askofu Kakobe amesema"sasa anaanza ziara za kitume ulimwenguni kwa kuhubiri injili na sasa ni wakati wa bara la Afrika kuinuliwa na Mungu na hasa Tanzania kunufaika na ziara zake .Baadhi ya maaskofu na wachungaji kutoka nchi mbalimbali watamsindikiza Toronto,Canada. Click image for larger version. 

Name:	freecover toront.jpg 
Views:	107 
Size:	55.7 KB 
ID:	96985

  4. Kamanda Kazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th December 2012
   Location : Mwanza, Tanzania
   Posts : 2,619
   Rep Power : 978
   Likes Received
   676
   Likes Given
   363

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   Quote By King'asti View Post
   Sasa sie wa mwenge mbona ametutelekeza tena?
   usijali madame mtawekewa recorded gospel sermons za Kakobe!

  5. BAOBAO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2012
   Posts : 1,493
   Rep Power : 762
   Likes Received
   313
   Likes Given
   156

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   Quote By Kamanda Kazi View Post
   usijali madame mtawekewa recorded gospel sermons za Kakobe!
   Askofu Zachary Kakobe,siamini kama ataweka recorded cassette za mafundisho yake ya awali !Pia,safari zake nje ya kanisa lake wamekuwepo baadhi ya maaskofu wanaohudumia ibada kama hayupo;kwani ana maaskofu kumi na tisa (19) ndani ya kanisa la Full Gospel Bible Fellowship,na mamia ya wachungaji kwa mujibu tovuti ya kanisa lake; http://www.fgbfchurch.org

  6. hasason's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th September 2012
   Posts : 1,059
   Rep Power : 497014
   Likes Received
   394
   Likes Given
   11

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   This is the truly Man of God I admired him on tanesco case!!


  7. lutamyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th April 2011
   Posts : 560
   Rep Power : 714
   Likes Received
   116
   Likes Given
   367

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   Wapo wachungaji kadha ambao watahudumu kwa ibada za jumapili wala usiwe na presha ndugu yangu.
   Quote By Kamanda Kazi View Post
   usijali madame mtawekewa recorded gospel sermons za Kakobe!
   OLE WAO WANAOONEKANA KWA WATU KUWA NI WENYE HAKI BALI NDANI WAMEJAA UNAFIKI NA MAASI (Mathayo 23:27-28)

  8. mgeni10's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th November 2010
   Location : Morogoro
   Posts : 1,100
   Rep Power : 440209
   Likes Received
   362
   Likes Given
   1281

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   It is from today,

  9. mgeni10's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th November 2010
   Location : Morogoro
   Posts : 1,100
   Rep Power : 440209
   Likes Received
   362
   Likes Given
   1281

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   lutamyo, hapa FGBF kuna Maaskofu wa kutosha na wachungaji nchi nzima, Huduma zitaendelea kama kawaida

  10. Ally Kombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2010
   Location : Dar es salaam
   Posts : 11,486
   Rep Power : 2596
   Likes Received
   2526
   Likes Given
   627

   Default

   Quote By mgeni10 View Post
   lutamyo, hapa FGBF kuna Maaskofu wa kutosha na wachungaji nchi nzima, Huduma zitaendelea kama kawaida
   kwa hiyo kuweka kaseti ilikuwa ni makusudi tu ?

  11. BAOBAO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2012
   Posts : 1,493
   Rep Power : 762
   Likes Received
   313
   Likes Given
   156

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   Quote By Ally Kombo View Post
   kwa hiyo kuweka kaseti ilikuwa ni makusudi tu ?

   Watu wataendelea kusikiliza kaseti za mafundisho ya askofu Zachary Kakobe awe hai au amefariki;kutokana na faida yake kwa sisi wengine ambao hatusali Mwenge ! Kwa nini iwe nongwa kwa Kakobe na siyo kaseti za wanasiasa kama Rais kwa kuwekewa kusikiliza kaseti za hotuba zao nchi nzima,wakati yeye hayupo nchini ? Je,wosia wa baba wa taifa siyo kusikiliza kaseti ? Mbona tunasikiliza vipindi vya tv au radio ambavyo vimerekodiwa ? Mwisho tazama vipindi vya askofu Kakobe kupitia channel ya YouTube sasa hivi katika link ifuatayo; Bishop Zachary Kakobe - YouTube
   Last edited by BAOBAO; 21st June 2013 at 01:36. Reason: add link

  12. DOMA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2011
   Posts : 926
   Rep Power : 0
   Likes Received
   308
   Likes Given
   5

   Default

   Quote By BAOBAO View Post
   Watu wataendelea kusikiliza kaseti za mafundisho ya askofu Zachary Kakobe awe hai au amefariki;kutokana na faida yake kwa sisi wengine ambao hatusali Mwenge ! Kwa nini iwe nongwa kwa Kakobe na siyo kaseti za wanasiasa kama Rais kwa kuwekewa kusikiliza kaseti za hotuba zao nchi nzima,wakati yeye hayupo nchini ? Je,wosia wa baba wa taifa siyo kusikiliza kaseti ? Mbona tunasikiliza vipindi vya tv au radio ambavyo vimerekodiwa ?
   naunga mkono hoja mashetani lazima yapige kelele

  13. BabaKasheshe's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th November 2012
   Posts : 207
   Rep Power : 501
   Likes Received
   42
   Likes Given
   194

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   Kwani hajaacha video....????????
   Quote By King'asti View Post
   Sasa sie wa mwenge mbona ametutelekeza tena?

  14. mgeni10's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th November 2010
   Location : Morogoro
   Posts : 1,100
   Rep Power : 440209
   Likes Received
   362
   Likes Given
   1281

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   Quote By Ally Kombo View Post
   kwa hiyo kuweka kaseti ilikuwa ni makusudi tu ?
   Unao uhakika au unasema yakusikia??????????

  15. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 26,139
   Rep Power : 429502270
   Likes Received
   20923
   Likes Given
   10494

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   Quote By BabaKasheshe View Post
   Kwani hajaacha video....????????
   Umeme hakuna
   I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou


  16. BAOBAO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2012
   Posts : 1,493
   Rep Power : 762
   Likes Received
   313
   Likes Given
   156

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   Quote By King'asti View Post
   Umeme hakuna
   Kama hakuna umeme;kutakuwa jenereta !Je,na sisi tunaomfatilia askofu Kakobe Toronto kwa kusikiliza na kutazama video zake katika youtube( Bishop Zachary Kakobe - YouTube ) au kutazama live mkutano wake wa wa Canada kupitia ( Miracle Healing Crusade: A Ministry of Bishop Zachary Kakobe International ) Na leo jumapili ni vema watu waende kuona kama kuna video kaseti mahubiri au kuna askofu Nathan Meshack atahubiri aliyezitwaa chapa zake askofu Kakobe kama Mtume Paulo na Timotheo wa Biblia.Jamani nendeni Mwenge si Toronto mje mtupe habari za kweli siyo kusikia kwa wazushi.

  17. BAOBAO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2012
   Posts : 1,493
   Rep Power : 762
   Likes Received
   313
   Likes Given
   156

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   Wakuu,askofu Kakobe anatarajiwa kutua Dar,kesho usiku saa 4 (Jumatatu 01/07/2013).Na washirika wake wanatarajiwa kumpokea baada ya kumaliza mkutano wake katika jiji la Toronto;kwa mafanikio makubwa kwa mujibu taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya jamii ya ndani na nje ya nchi yetu.https://www.facebook.com/bishopkakob.../photos_albums

  18. BAOBAO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2012
   Posts : 1,493
   Rep Power : 762
   Likes Received
   313
   Likes Given
   156

   Default Re: Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

   Taarifa rasmi ni kuwa Askofu Kakobe anarejea Dar(Tz) jumatatu [01/julai/2013] kwa mujibu wa mtandao wake wa facebook leo BISHOP ZACHARY KAKOBE WILL BE IN DAR-ES-SALAAM,... - Bishop Zachary Kakobe International Ministries


  Page 3 of 3 FirstFirst 123

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...