Kila kitu Bagamoyo kwanini???!!!!
Heshima kwako mkuu kwa picha.
Komaaeni mtwara sasa hivi barabara yenu itaasha,wahusika washajua kuwa tayari mmeshituka.Waangalieni pia wabunge ambao hawako nyinyi katika hiki kipindi kigumu.
Mwenzenu ndo kaenda kupatana bei ya kuiuza hiyo gesi huko Ufaransa, halafu akishapewa hizo hela ataenda kuzificha uswiz na bada ya hapo atakwenda Canada kujipongeza na kucheza na vigari vinavyoendeshwa na farasi.
WATANZANIA TUNA UWOGA , SIO AMANI TUNADANGANYWA, sacrifice for your son and daughter AMKA KIFIKRA.
Laiti kama tukifika 2015 salama tuombe Mungu hali inatisha sana.
Safi sana...change ni sisi wenyewe...
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
Follow Us Here