JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Majoho ya wahitimu bomba

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 31 of 31
  1. kitalolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2006
   Posts : 1,843
   Rep Power : 4000
   Likes Received
   687
   Likes Given
   683

   Default Majoho ya wahitimu bomba

   Attachment 72215

   Attachment 72216


   Attachment 72217

   Attachment 72218
   tulipomaliza kupewa shahada zetu lilipata fursa ya kupiga picha ya pamoja na mgeni rasmi
   MAN IS A TWO FOLD BEING HAVING A DIVINE AND AN ANIMAL NATURE . IF HE FEELS AND THINKS AND ACT AS A DIVINE BEING SHOULD ACT, HE IS A TRUE MAN; IF HE FEELS AND ACT LIKE AN ANIMAL, HE IS THEN AN ANIMAL


  2. Daudi Mchambuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Location : Arusha
   Posts : 13,478
   Rep Power : 429499686
   Likes Received
   7214
   Likes Given
   40004

   Default Re: Majoho ya wahitimu bomba

   jamaani, sio vizuri hivi.
   "UJINGA NI NUSU YA KIFO"

  3. mathcom's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th October 2012
   Location : Sinza Dar es Salaam
   Posts : 1,391
   Rep Power : 741
   Likes Received
   479
   Likes Given
   895

   Default Re: Majoho ya wahitimu bomba   sasa hapa utajuwaje kama hawa kweli ndio walio-graduate !!
   Jamani mbona mnakuwa na masihara kama ya kweli wakati mwengine !!

  4. Dodoma one's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2012
   Posts : 258
   Rep Power : 539
   Likes Received
   18
   Likes Given
   48

   Default Re: Majoho ya wahitimu bomba

   Yaaani we acha 2,natambulisha kwa jina mojamoja kutoka kushoto walio simama AMINA ,ZUWENA,MWAJUMA,HAULATH,HADIJA ,walio chuchumaa kutoka kushoto TATU,TABU,SHIDA.

  5. kitalolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2006
   Posts : 1,843
   Rep Power : 4000
   Likes Received
   687
   Likes Given
   683

   Default Re: Majoho ya wahitimu bomba

   Quote By Dodoma one View Post
   Yaaani we acha 2,natambulisha kwa jina mojamoja kutoka kushoto walio simama AMINA ,ZUWENA,MWAJUMA,HAULATH,HADIJA ,walio chuchumaa kutoka kushoto TATU,TABU,SHIDA.
   Asante @ kwa utambulisho huo
   MAN IS A TWO FOLD BEING HAVING A DIVINE AND AN ANIMAL NATURE . IF HE FEELS AND THINKS AND ACT AS A DIVINE BEING SHOULD ACT, HE IS A TRUE MAN; IF HE FEELS AND ACT LIKE AN ANIMAL, HE IS THEN AN ANIMAL

  6. ITEGAMATWI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th January 2012
   Posts : 3,212
   Rep Power : 614883
   Likes Received
   1114
   Likes Given
   1822

   Default Re: Majoho ya wahitimu bomba

   Quote By kitalolo View Post


   Attachment 72218
   tulipomaliza kupewa shahada zetu lilipata fursa ya kupiga picha ya pamoja na mgeni rasmi
   Hii umetuibia mkuu, hata ukii-zoom in unona kuwa umeitoa kwenye mtandao. Kama vipi itupie kule kwenye jukwaa la jokes nadhani ndiyo mahala pake.


  7. kitalolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th December 2006
   Posts : 1,843
   Rep Power : 4000
   Likes Received
   687
   Likes Given
   683

   Default Re: Majoho ya wahitimu bomba

   Quote By GOOGLE View Post
   Chuo gani kinavyalisha majoho ya hivi?? Iraq au Iran.
   kiko morogoro mkuu zamani ilikuwaa Taa nesco siku hizi do once
   MAN IS A TWO FOLD BEING HAVING A DIVINE AND AN ANIMAL NATURE . IF HE FEELS AND THINKS AND ACT AS A DIVINE BEING SHOULD ACT, HE IS A TRUE MAN; IF HE FEELS AND ACT LIKE AN ANIMAL, HE IS THEN AN ANIMAL

  8. ITEGAMATWI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th January 2012
   Posts : 3,212
   Rep Power : 614883
   Likes Received
   1114
   Likes Given
   1822

   Default Re: Majoho ya wahitimu bomba

   Quote By CHUAKACHARA View Post
   Picha ya mwisho inaonyesha hawa wanawake wana walakini katika kufikiri. Huyu kesho ukimwambia kuwa mmeamuliwa kutoa mapenzi kinyume na maumbile (department 4) atakubali maana kama kakubali upuuzi huo eti kwa vile imeamliwa, kesho akiambiwa imeamuliwa hivyo na hilo atafanya maana hakuna analohoji!!!!!!!!!!!!!

   Najua ni kejeli lakini ngoja nikujibu kikejeli hivyo hivyo! Ni kweli kuwa wameamliwa lakini hizo amri zimekuwepo karne na karne katika maandishi ya kitabu cha imani yao (Quran) hivyo hakuna wa kuwaamrisha isipokuwa hicho kitabu na kingine zaidi kitabu chao hakibadiliki ni hicho hicho hakina toleo la kale, toleo jipya la kuja kuwaamrisha sasa waanze kutoa depertment 4 unayoisema.

  9. Jungumawe's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 2nd May 2009
   Posts : 239
   Rep Power : 916
   Likes Received
   67
   Likes Given
   33

   Default Re: Majoho ya wahitimu bomba

   [QUOTE=kitalolo;5088349]Attachment 72215

   Attachment 72216


   Attachment 72217

   Attachment 72218

   hawa si wamepiga migongo tu picha yenye sura zitapigwa baadaye

  10. #29
   KVM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2011
   Posts : 1,257
   Rep Power : 802
   Likes Received
   511
   Likes Given
   205

   Default Re: Majoho ya wahitimu bomba

   Quote By Mwana Mtoka Pabaya View Post
   Tehe tehe tehe!

   Attachment 72248

   Biashara ni matangazo, au sivyo?

  11. ITEGAMATWI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th January 2012
   Posts : 3,212
   Rep Power : 614883
   Likes Received
   1114
   Likes Given
   1822

   Default Re: Majoho ya wahitimu bomba

   Click image for larger version. 

Name:	orthodox.jpg 
Views:	6 
Size:	115.4 KB 
ID:	72433
   Wakiwa wamekula pozi la picha baada ya ibada ya jumapili.
   Ni kweli kuna utofauti lakini hiyo picha hapo juu pia mpigaji alipata shida kidogo kuwapiga.Hawa ni masister (nuns) wakikristo madhehebu ya Orthodox. Sijui hawa nao wanaongozwa na madrasa?

   Click image for larger version. 

Name:	orthodox 2.jpg 
Views:	6 
Size:	51.9 KB 
ID:	72434
   Hapa wapo ziarani VATICAN kumsabahi papa benedicto XVI


   Zaidi unaweza tembelea link hizi kujionea zaidi ORBIS CATHOLICVS: Greek Orthodox sisters in the Vatican... na B A S I L I C A - Theology of Space: October 2009.

  12. Lenana's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th October 2010
   Posts : 415
   Rep Power : 651
   Likes Received
   44
   Likes Given
   57

   Default Re: Majoho ya wahitimu bomba

   Nafikiri ni wakati muafaka wa Tume ya vyuo vikuu nchini kuja na tathmini ya elimu itolewayo na hiki chuo isije ikawa ni kama ya wenzetu wakenya waliosoma Kampala International University shahada zao kutokutambuliwa na Tume ya vyuo vikuu nchini mwao!
   YU MPUMBAVU KIPOFU AGOMBANAE NA ANAYEMUONGOZA KATIKA MAPITO SALAMA!


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...