JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Angalia PICHA ...TUKIO la FUMANIZI LA WALIO GANDANA WAKIFANYA MAPENZI TEMEKE

  Report Post
  Results 1 to 7 of 7
  1. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,479
   Rep Power : 429504380
   Likes Received
   22044
   Likes Given
   68192

   Default Angalia PICHA ...TUKIO la FUMANIZI LA WALIO GANDANA WAKIFANYA MAPENZI TEMEKE

   UMATI wa watu wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam , wakiwa na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kunasana wakifanya mapenzi katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani Temeke.
   P0LICE wakipiga mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya Temeke


   Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima akishangaa kuona umati huo
   Wananchi wakishinikiza waoneshwe wapenzi hao

   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')


  2. #2
   andate's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th June 2011
   Posts : 2,681
   Rep Power : 1039
   Likes Received
   909
   Likes Given
   3356

   Default Re: Angalia PICHA ...TUKIO la FUMANIZI LA WALIO GANDANA WAKIFANYA MAPENZI TEMEKE

   Hivi hii issue ilikuwa ni ya ukweli?

  3. MaxShimba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2008
   Posts : 36,631
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3918
   Likes Given
   679

   Default Re: Angalia PICHA ...TUKIO la FUMANIZI LA WALIO GANDANA WAKIFANYA MAPENZI TEMEKE

   Namwona jirani yangu yupo hapoo kaaaaaaa
   Yesu Kristo Ni Mungu
   Jesus Christ is My Sweetheart


  4. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,479
   Rep Power : 429504380
   Likes Received
   22044
   Likes Given
   68192

   Default Re: Angalia PICHA ...TUKIO la FUMANIZI LA WALIO GANDANA WAKIFANYA MAPENZI TEMEKE

   HII NDIO A-Z YA WAGONI WALIOGANDANA!!
   LILE tukio la madai ya wanandoa kusaliti ndoa zao kwa kwenda kuzini gesti na hatimaye kugandana, bado linaendelea kuumiza vichwa vya baadhi ya Wabongo kuhusu ukweli wake, Ijumaa Wikienda lina mpya.
   Bibi kizee aliyefika eneo la tukio kwa lengo la kuwanasua wapenzi walionasa
   Novemba 8, mwaka huu, saa 5 asubuhi, umati wa wakazi wa Jiji la Dar ulifurika kwenye Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Temeke kushuhudia tukio hilo.
   Mapaparazi wetu walifika eneo la tukio ambapo dada mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Margret alithibitisha kuwaona wagoni hao wakishushwa kwenye gari aina ya Canter huku wamefunikwa shuka moja jeupe.
   Aidha, gazeti hili lilimshuhudia bibi kizee aliyefika eneo hilo na kusema hilo ni tego ambalo analifahamu na kuwahi kulishuhudia mara kadhaa katika mikoa ya kusini mwa Tanzania.
   Mchei Guest House ambapo wawili hao wanapodaiwa kunasiana.
   Akilipa ushuhuda gazeti hili, bibi kizee huyo aliyekataa kutaja jina lake, alisema yeye alifika eneo la tukio lengo likiwa ni kuwanasua wawili hao lakini alisikitika akisema alinyimwa ushirikiano.

   Bibi huyo aliyetokea Tanga, anayekadiriwa kuwa na zaidi ya miaka 75, alisisitiza kuwa, tukio hilo ni la kweli na kusema hata waliosema wameshuhudia walishindwa kulifuatilia vizuri kwa sababu suala lenyewe lilikuwa na mazingara ndani yake.
   Alisema aliyeliona mwanzo lilimpotea katika hali ya kimazingara kutokana na macho yake kutokuwa na uwezo wa kuona zaidi ya alichoanza kukiona awali.
   “Hapa Dar es Salaam, dhambi ya zinaa imezidi sana. Mungu ameamua kuonesha miujiza yake,” alisema bibi huyo akiwa na dawa zake mkononi.


   Margret aliyedai kuwaona wagoni hao wakishushwa kwenye gari aina ya Canter huku wamefunikwa shuka moja jeupe.
   Naye Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke, Amani Malima alipohojiwa, alikanusha kutokea kwa tukio hilo.
   Baada ya hapo, mapaparazi wetu walifika kwenye Gesti ya Mchei inakodaiwa ndiyo kulitokea tukio hilo na kuzungumza na mhudumu wa mapokezi, Masha Abdallah ambaye alikanusha tukio hilo kutokea.
   Mmiliki wa gesti hiyo, Salmada Mchei naye alisema tukio hilo halijatokea na anashangaa uvumi huo umeanzishwa na nani.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  5. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,479
   Rep Power : 429504380
   Likes Received
   22044
   Likes Given
   68192

   Default Re: Angalia PICHA ...TUKIO la FUMANIZI LA WALIO GANDANA WAKIFANYA MAPENZI TEMEKE

   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')


  6. #6
   Swat's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th October 2012
   Posts : 4,233
   Rep Power : 11851871
   Likes Received
   1834
   Likes Given
   77

   Default Re: Angalia PICHA ...TUKIO la FUMANIZI LA WALIO GANDANA WAKIFANYA MAPENZI TEMEKE

   Mbona hapo hospital simuoni hata mmoja wa hao walionasana? Na vyombo vyote vya habari havijapata kuwaonyesha watu hao wakiwa wamenasiana!
   Naona kundi la watu wasiojitambua na wanaochezea muda wao wa kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yao! Wengine hapo hata hawajui jioni ya siku hiyo watakula nini!. Mchawi aliyetuloga watanzania ameshafariki na ni kama mganga anayetakiwa kutuponya nae yupo wodi ya mahututi.

  7. dunia tunapita's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th August 2012
   Location : Timbuktu
   Posts : 397
   Rep Power : 551
   Likes Received
   58
   Likes Given
   61

   Default Re: Angalia PICHA ...TUKIO la FUMANIZI LA WALIO GANDANA WAKIFANYA MAPENZI TEMEKE

   mh!!! picha zao mbona hatuzioni wa tmk?


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...