JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mwonekano wa Lulu sasa

  Report Post
  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 41 to 60 of 66
  1. #1
   TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 12,971
   Rep Power : 8588
   Likes Received
   1729
   Likes Given
   220

   Default Mwonekano wa Lulu sasa   Lulu akiwa mahakamani, huu ndo mwonekano wake sasa full bata kanawili shavu dodo
   Jela kumempenda Lulu
   MziziMkavu, Mboko and wdb like this.
   Mwisho wa Ubaya Aibu.


  2. King Kong III's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Location : Enaboishu-Umenyeni
   Posts : 17,877
   Rep Power : 82927930
   Likes Received
   5650
   Likes Given
   3535

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Jela ngumu kama haukati pochi,ukikata pochi unaletewa kila kitu ndani na unalala sehemu safi tu hadi cream unaletewa.

  3. #42
   Blue G's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th June 2012
   Location : A LITTLE WORLD OF MY OWN
   Posts : 3,736
   Rep Power : 24642389
   Likes Received
   2056
   Likes Given
   1520

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   kwa hiyo blackpepper kwa hiyo pointi yako ungependa tukusaidieje????????

  4. snowhite's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2012
   Location : nyumbani
   Posts : 11,963
   Rep Power : 125939384
   Likes Received
   12016
   Likes Given
   10271

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Quote By cacico View Post
   STUKA snowhite! THINK! ni balaa, ila katoto kanamudu, lol
   abee!bora umenistua manake nilifika mbali mwendhio!kha

  5. snowhite's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2012
   Location : nyumbani
   Posts : 11,963
   Rep Power : 125939384
   Likes Received
   12016
   Likes Given
   10271

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Quote By cacico View Post
   now u r talking! Alianza na wakina anne constantine wa mambo hayo miaka ileeeeeeee! Sasa hivi taratibuuuuuu anamalizia uzee wake huku kwa haka katoto, mi baadae nitakuja kumuua mtu mungu anipishie mbali na mabinti zangu! Nisaidieni kusali kwa kuitikia amen!!! Lolest!
   ameeeen!

  6. #45
   Amavubi's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 9th December 2010
   Location : Mabwe Pande
   Posts : 12,274
   Rep Power : 67428989
   Likes Received
   4925
   Likes Given
   4267

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   hivi kwa akili zetu tunadhani Lulu anatokea Gerezani? NOT AT ALL...........

   Lulu akiwa mahakamani, huu ndo mwonekano wake sasa full bata kanawili shavu dodo
   Jela kumempenda Lulu[/QUOTE]
   Mawenzi likes this.
   Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya

  7. Kansime

  8. Nyamgluu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Mabwepande
   Posts : 1,680
   Rep Power : 16258112
   Likes Received
   596
   Likes Given
   313

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Still very fit for human consumption! Ila anaonekana mkubwa kuliko umri. Kalikua ndani kweli haka? Mh kamehimili sana! Nisingekashauri kaonekane bomba hivyo hadharani wabongo tutakasulubisha sasa hivi!
   You only live once, but if you do it right, once is enough.- Mae West
   Huwa nashangaaga Sana mnapowatukana Western countries huku mmevaa suit kutoka Ufaransa na manukato kutoka Italy.JF Great Thinker kambitza 28/5/2014!

  9. Zamaulid's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : PANDAGI CHIZA
   Posts : 5,571
   Rep Power : 1744
   Likes Received
   1533
   Likes Given
   920

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Quote By cacico View Post
   Chezeiya matunzo ya mheshimiwa peramiho na kati ya songea???
   mmmmh!

  10. CHUAKACHARA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2011
   Posts : 4,365
   Rep Power : 7972
   Likes Received
   1498
   Likes Given
   1146

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Quote By Mchwechwele View Post


   Lulu akiwa mahakamani, huu ndo mwonekano wake sasa full bata kanawili shavu dodo
   Jela kumempenda Lulu
   Bado mtamu!!!!!!!!!!!!!!!

  11. Kongosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2011
   Location : Location loading...
   Posts : 34,068
   Rep Power : 97725857
   Likes Received
   21504
   Likes Given
   22038

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   mbona wengine wakienda jela wanachoka.
   Mtoto mashallah, amependeza kuliko zamani.

  12. #50
   Mboko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th October 2010
   Location : Kwemunyu Muheza Tanga
   Posts : 961
   Rep Power : 690
   Likes Received
   206
   Likes Given
   1671

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Uonevu tu Mungu yupo huyu mtoto atatoka tu,kanumba mshenzi sana kambaka mtoto wa watu kwa kumdanganya na vijisenti go to hell Kanumba jamani hebu fikirieni Elizabeth angekuwa dada yenu/mdogo wenu halafu afanyiwe vile kwa kutumia umaskini mngefanyanye......?

  13. #51
   Bob G's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 5th October 2011
   Location : UK Manyasi
   Posts : 2,193
   Rep Power : 884
   Likes Received
   405
   Likes Given
   42

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Kama tungejua anachokula nyuki nina hakika tusingelamba asali,

  14. #52
   Ubungo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th April 2012
   Posts : 1,215
   Rep Power : 663
   Likes Received
   230
   Likes Given
   233

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Guest house ya Serikali imemkubali.

  15. Lukansola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2010
   Location : 6°48′S 39°17′E
   Posts : 4,304
   Rep Power : 1325
   Likes Received
   1061
   Likes Given
   1335

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   now she looks above eighteen...

  16. Lukansola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2010
   Location : 6°48′S 39°17′E
   Posts : 4,304
   Rep Power : 1325
   Likes Received
   1061
   Likes Given
   1335

   Default

   Quote By Bob G View Post
   Kama tungejua anachokula nyuki nina hakika tusingelamba asali,
   kuku anakula majongoo mpaka mijusi na analiwa itakuwa Lul... ooops sorry; nyuki.

  17. Capitano's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th April 2011
   Posts : 219
   Rep Power : 515
   Likes Received
   31
   Likes Given
   2

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Quote By snowhite View Post
   mtuachie wifi yetu!ahahahahah ila sipati picha jamani!ile habari inakuwaje pale!ah nawaza kwa sauti tu!
   Alaaaa kumbiiii uyu na mlamu winu anuu?
   snowhite likes this.

  18. mungelehumphrey's Avatar
   Member Array
   Join Date : 9th September 2012
   Posts : 14
   Rep Power : 400
   Likes Received
   1
   Likes Given
   88

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Lulu huko jela anakaa VIP nini iweje anenepe hivyo kuna kitu siyo bure jamani maana watu wengi tunajua jele ni mateso sasa kwa lulu imekuwa tofauti.

  19. #57
   lukindo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2010
   Posts : 1,847
   Rep Power : 896
   Likes Received
   517
   Likes Given
   752

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Quote By Mboko View Post
   Uonevu tu Mungu yupo huyu mtoto atatoka tu,kanumba mshenzi sana kambaka mtoto wa watu kwa kumdanganya na vijisenti go to hell Kanumba jamani hebu fikirieni Elizabeth angekuwa dada yenu/mdogo wenu halafu afanyiwe vile kwa kutumia umaskini mngefanyanye......?
   mkuu Mboko unanichekesha kweli.
   Unanikumbusha wakati ule wa msiba kuna mtu aliweka bandiko hapa jf akisema kuwa watu waliofurika kwenye msiba wake wakiongozwa na rais JK, ni lazima kijana wa watu atakuwa peponi lakini mtu mmoja akasema ..."yuko anakula marungu ya moto" kutokana na dhambi zake za ubakaji!

   Mboko likes this.

  20. Fixed Point's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 30th September 2009
   Posts : 11,145
   Rep Power : 429499209
   Likes Received
   12405
   Likes Given
   12479

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Quote By cacico View Post
   Chezeiya matunzo ya mheshimiwa peramiho na kati ya songea???
   rafiki, sisi kule Peramiho mbunge wetu ni mmama, anaitwa Jenista Mhagama
   Don't wait for the Perfect Moment,
   Take the Moment and make it Perfect


  21. Kwelitupu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 22nd August 2012
   Posts : 46
   Rep Power : 409
   Likes Received
   36
   Likes Given
   6

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Wana JF, tuseme ukweli jamani, huyu mtoto Lulu ni mzuri sana,..naturally..kwa kweli sijapata kuona msichana mzuri na sexy kama huyu (honestly), yaani ameenea kila sehemu. Kuna video fulani alishirikishwa katika wimbo fulani wa bongo fleva, yaanii uzuri wake ndio utauona vizuri hasa.
   It is unfortunate kuwa ameji-mix na watu na mambo in-decent. Ila nimeamini kuwa kwa TZ watoto wenye unique beauty kama Lulu wanatokana na wamama wa Kihaya.
   Mboko likes this.

  22. grafani11's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th May 2011
   Location : Omnipotent Street
   Posts : 9,786
   Rep Power : 25489489
   Likes Received
   3427
   Likes Given
   5344

   Default Re: Mwonekano wa Lulu sasa

   Quote By Mchwechwele View Post


   Lulu akiwa mahakamani, huu ndo mwonekano wake sasa full bata kanawili shavu dodo
   Jela kumempenda Lulu
   Katika maisha usipoikubali hali halisi itakuwa kama alipoingia nondoni kwa mara ya kwanza , lakini sasa ameikubali hali halisi anazidi kunawiri. Huyo hatoki mpaka baada ya miaka kumi, chezea kesi ya mauaji wewe.

  23. Clean9

  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...