JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 26
  1. #1
   TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 12,595
   Rep Power : 8500
   Likes Received
   1667
   Likes Given
   220

   Default Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix   Kiungo mshambualiji wa timu ya Simba Haruna Moshi Boban akifanya remix ya maji+kiloba+valuu+glucose awali alianza na kitu cha Malawi aka sigara kubwa kisha huyooo uwanjani.
   maishapopote and Bwana Mapesa like this.
   Mwisho wa Ubaya Aibu.

  2. Crashwise's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 23rd October 2007
   Location : Safarini
   Posts : 17,999
   Rep Power : 0
   Likes Received
   5872
   Likes Given
   4155

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Quote By Mchwechwele View Post

   Kiungo mshambualiji wa timu ya Simba Haruna Moshi Boban akifanya remix ya maji+kiloba+valuu+glucose awali alianza na kitu cha Malawi aka sigara kubwa kisha huyooo uwanjani.
   Mwanaume kuwa na maneno kama haya ni aibu sana..
   Adrian Stepp likes this.

  3. #3
   watu8's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 31,659
   Rep Power : 36508967
   Likes Received
   18758
   Likes Given
   20298

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   duh!!!

  4. babacollins's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd December 2010
   Posts : 491
   Rep Power : 495
   Likes Received
   79
   Likes Given
   91

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Quote By Mchwechwele View Post

   Kiungo mshambualiji wa timu ya Simba Haruna Moshi Boban akifanya remix ya maji+kiloba+valuu+glucose awali alianza na kitu cha Malawi aka sigara kubwa kisha huyooo uwanjani.
   Inabidi mswada wa kuruhusu hii kitu uende bungeni.Mbunge wa Tabora atapambana sheria itaruhusu tu .

  5. #5
   TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 12,595
   Rep Power : 8500
   Likes Received
   1667
   Likes Given
   220

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Quote By Crashwise View Post
   Mwanaume kuwa na maneno kama haya ni aibu sana..
   Vp tena mtani? Hao ndo wachezaji wenu mnao wasajili kwa bei mbaaaaaaaaaaaya fikeni dau tuwaachia Mbuyu
   maishapopote likes this.
   Mwisho wa Ubaya Aibu.

  6. JF SMS Swahili

  7. Crashwise's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 23rd October 2007
   Location : Safarini
   Posts : 17,999
   Rep Power : 0
   Likes Received
   5872
   Likes Given
   4155

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Quote By Mchwechwele View Post
   Vp tena mtani? Hao ndo wachezaji wenu mnao wasajili kwa bei mbaaaaaaaaaaaya fikeni dau tuwaachia Mbuyu
   Angalia anafanya nini uwanjani au nitajie kiungo wa kumfunika Boban ndipo tutatongea biashara ya Mbuyu...

  8. Daudi Mchambuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Location : Arusha
   Posts : 7,839
   Rep Power : 24842
   Likes Received
   3660
   Likes Given
   18447

   Default Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Quote By Mchwechwele View Post

   Kiungo mshambualiji wa timu ya Simba Haruna Moshi Boban akifanya remix ya maji+kiloba+valuu+glucose awali alianza na kitu cha Malawi aka sigara kubwa kisha huyooo uwanjani.
   Halafu hicho ni kiroba jogoo.

   Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   Bwana Mapesa likes this.
   "Wazee wanaounga mkono muungano wa serikali 3 wanasubiri kufa" by @Nape Nnauye

  9. maishapopote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th May 2009
   Location : njoro
   Posts : 955
   Rep Power : 2391
   Likes Received
   255
   Likes Given
   2142

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   du ina maana hata kiroba cha kawaida hawezi nunua....simba bwana
   Naipenda JF zaidi ya Gang chomba anavyoipenda AC Milan

  10. Crashwise's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 23rd October 2007
   Location : Safarini
   Posts : 17,999
   Rep Power : 0
   Likes Received
   5872
   Likes Given
   4155

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Quote By maishapopote View Post
   du ina maana hata kiroba cha kawaida hawezi nunua....simba bwana
   Vipi mshiko anaopata unamfikia...?
   maishapopote likes this.

  11. #10
   TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 12,595
   Rep Power : 8500
   Likes Received
   1667
   Likes Given
   220

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Quote By Crashwise View Post
   Angalia anafanya nini uwanjani au nitajie kiungo wa kumfunika Boban ndipo tutatongea biashara ya Mbuyu...
   Hicho anacho kifanyia remix ndicho kinacho mfanya aonekane bora kwenu msimbazi lakini akija Jangwani huyu hapati namba
   Mwisho wa Ubaya Aibu.

  12. #11
   TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 12,595
   Rep Power : 8500
   Likes Received
   1667
   Likes Given
   220

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Quote By Daudi mchambuzi View Post
   Halafu hicho ni kiroba jogoo.

   Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   hiki ni kiloba cha jelo jelo kinaitwa kiloba original cha Konyagi cha 1200/= hana ubavu wa kununua
   Mwisho wa Ubaya Aibu.

  13. #12
   Kabembe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2009
   Location : Ngamanga
   Posts : 1,012
   Rep Power : 777
   Likes Received
   225
   Likes Given
   232

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix   Kwa style hii ndio maana alikimbia ulaya......Kiungo mshambualiji wa timu ya Simba Haruna Moshi Boban akifanya remix ya maji+kiloba+valuu+glucose awali alianza na kitu cha Malawi aka sigara kubwa kisha huyooo uwanjani.[/QUOTE]
   'Aircraft,Handcraft,Spacecraft and Witchcraft all are Crafts,why hate Witchcraft?

  14. Bwana Mapesa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th April 2011
   Posts : 504
   Rep Power : 556
   Likes Received
   90
   Likes Given
   269

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Quote By Mchwechwele View Post

   Kiungo mshambualiji wa timu ya Simba Haruna Moshi Boban akifanya remix ya maji+kiloba+valuu+glucose awali alianza na kitu cha Malawi aka sigara kubwa kisha huyooo uwanjani.
   ha ha ha ha ha I like this Guy bwana.......ndo wachezaji wetu.

  15. #14
   TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 12,595
   Rep Power : 8500
   Likes Received
   1667
   Likes Given
   220

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Ulaya angepata wapi kiloba?
   Mwisho wa Ubaya Aibu.

  16. maishapopote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th May 2009
   Location : njoro
   Posts : 955
   Rep Power : 2391
   Likes Received
   255
   Likes Given
   2142

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Quote By Crashwise View Post
   Vipi mshiko anaopata unamfikia...?
   angalia rank yangu JF halafu angali ya kwako..then ndo unilinganishe na huyo mvuta bange...
   Naipenda JF zaidi ya Gang chomba anavyoipenda AC Milan

  17. Crashwise's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 23rd October 2007
   Location : Safarini
   Posts : 17,999
   Rep Power : 0
   Likes Received
   5872
   Likes Given
   4155

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Quote By Mchwechwele View Post
   Hicho anacho kifanyia remix ndicho kinacho mfanya aonekane bora kwenu msimbazi lakini akija Jangwani huyu hapati namba
   Vipi Athuman Idd Chuji...mbona ni zaidi ya Boban mbona mnamchezesha.................. .

  18. Crashwise's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 23rd October 2007
   Location : Safarini
   Posts : 17,999
   Rep Power : 0
   Likes Received
   5872
   Likes Given
   4155

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Quote By maishapopote View Post
   angalia rank yangu JF halafu angali ya kwako..then ndo unilinganishe na huyo mvuta bange...
   Jibu swali acha porojo, pesa uliyo toa ni ishara kwamba unapesa sana....!?
   maishapopote likes this.

  19. #18
   genekai's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th February 2010
   Location : Loitering!
   Posts : 9,318
   Rep Power : 3861141
   Likes Received
   1902
   Likes Given
   2211

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Hafu awe na ndoto ya kucheza Barclay's premier league?
   maishapopote likes this.
   In Each Moment of Joy, There are Hundreds of Despair!!!!

  20. kisugujira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th August 2012
   Posts : 751
   Rep Power : 538
   Likes Received
   178
   Likes Given
   154

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   [QUOTE=Mchwechwele;4633289]

   Kiungo mshambualiji wa timu ya Simba Haruna Moshi Boban akifanya remix ya maji+kiloba+valuu+glucose awali alianza na kitu cha Malawi aka sigara kubwa kisha huyooo uwanjani.

   Guys don't you know that? "That is the spirit of the Nation".

  21. maishapopote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th May 2009
   Location : njoro
   Posts : 955
   Rep Power : 2391
   Likes Received
   255
   Likes Given
   2142

   Default Re: Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

   Quote By Crashwise View Post
   Jibu swali acha porojo, pesa uliyo toa ni ishara kwamba unapesa sana....!?
   sasa kama unashindwa kuchangia JF hata shilingi elfu kumi...na unashinda humo mi nina la kubishana na wewe? utashi wako kwenye hilo ndio unanifanya nikuone kama si maskini wa akili basi ni wa roho na mali
   Naipenda JF zaidi ya Gang chomba anavyoipenda AC Milan

  22. JF SMS Swahili

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...