"Mnataka kujua nini? Sikuzaliwa ili nipate nishani... "Please don't make it an issue, acheni suala hilo ni uchonganishi, acheni," - Malecela.
jamaa mswahili utafikiri mzaramu kumbe msukuma.....kuna uwezekano mkubwa baba wa kizaramo/kikwere akawaaliibia mamaza fulani wa huku kwa wasukuma....mtu unakuwa mswahili hadi watu wanakuchoka...yaani hadi mdomo umekaa kiswahiliswahili, ukimwona tu sura tu inajieleza hukitaji alete cv.
Haya yote ni ubatili mtupu, hakuna jipya hapa duniani!
Tusidharau kiswahili ndio lugha yetu adhimu. Lugha nyingine ni kama nguo ya kuazima isivyositiri ******.
Anafaa kabisa kuwa rais kupitia CDM
Mimi simfahamu huyu jamaa ni nani ila kwa jinsi nilivyobobea katika suala zima la saikolojia ya mwanadamu, naweza kuangalia midomo ya huyu jamaa na kuhitimisha kuwa ni mwimbaji wa taarabu popote aendapo iwe eneo la kawaida au eneo rasmi. Jamani, kwa wanaomfahamu tafadhali nidhihirishieni hitimisho hili.
Follow Us Here