Thats God's gift to Greencity! Panavutia sana!
Asante mkuu!
Hivi unakwenda kutokeza wapi na umbali kati ya unakoingilia na unakotokeza ni KM ngapi?
Mkuu hayo Maajabu hayako Mbeya pekee yake, Arusha Yako mengi kuliko hata Huko Mbeya
1. Mto Kirurumu, Huu mto uko Mto wa Mbu wilayani Monduli, Huu mto Ulisumbua watu sana Kujua Chanzo cha Maji yake kwa sababu Hauna Kiangazi wala Masika, Na unaibukia hapo Mto wa Mbu na Kuzama tena na Kupita Chini Ya ziwa Manyara na Unaenda kumwaga maji yake Bahari Ya Hindi
Chanzo Chake- Kuna watafiti wazungu walitafiti na Kugundua Unatoa Maji yake lake Victoria huko Mara
2. Ziwa Duruti Arusha- Hili ziwa lina Connection na Ziwa Tanganyika kuna wajapani waliweka vitu fulani Kwenye Mikondo ya Maji huko Ziwa Tanganyika na wakaja kuvikuta Ziwa Duruti Arusha
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
mambo kama haya huwezi kuyasikia yanapewa promo....ila yale madudu yao utayasikia yanapewa promo mpaka international level na watu wanamega posho zao kiulaiini
!!..BAR ikiwa na wahudumu wa KIUME TUPU sikai dakika nyingi..!!
is this the photo?
Follow Us Here