hapo sikujua kama alikuwa anataka kumla denda askofu ama??!!
hapo sikujua kama alikuwa anataka kumla denda askofu ama??!!
hapo alikuwa kwenye motion ya kumhug ..warusi wanapenda sana ku hugiana na huyo ni kiongozi wa makanisa yao ..kanisa lao liaitwa prazaslavia
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Will smith nae si alitaka kupigwa denda Urusi pia ?
no comment
duh!now i get the logic,ndo maana baadhi ya watu ukiwambia kuna watu mafukara kwenye hii nchi yenye utajiri ni vigumu kukuelewa!
Picha kama hii ukiiweka kwenye racial sensitive sociaty utapata matatizo kwa sababu iko racially charged!
Interesting though...
"To greed, all nature is insufficient"
kutoka gazeti moja la nchi jirani!
Inanikumbusha zile hasira za kuamka asubuhi
treni hizi kwa ulaya utazikuta ujerumani,zinatembea huku mhimili wake upo kwa juu tofauti na tulivyo zoea
iga ufe njaa!!
Madaraja tu yakuvukia mto yametushinda,
Sembuse barabara ya juu kilometa 60, 70.............
Success Requires No Explanations, Failure Permits No Alibis- Napoleon Hill
Kunahaja yakufikiri nje ya box.
Success Requires No Explanations, Failure Permits No Alibis- Napoleon Hill
ni kweli maendeleo but hayo yote unayoyaona ni matokeo ya unyonyaji,unyanyaswaji,uburuzw aji,ukandamizwaji kwa mabubu zetu hapo zamani,so kizazi chao cha sasa hakiwazi chakula,pakulala,mavazi na n.k,
uspime!
Huyu naye amejaliwa pua
I'm only responsible for what I say; NOT for what you understand.
Si baba mwanaasha aliwaahidi ktk kampeni zake za last electon? subirieni zajaaa
tutakula hata nyasi mradi ......
MZUNGU AKIJICHUBUA HUJUE MOYONI ANA UAFRICA!.by stamina
zitajengewa wapi maana hakuna hata provision za kupanua barabara, labda mvunje majengo
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Sisi kwa Tanzania hatuwezi!
There is a saying in aviation "You haven't crashed until you've crashed. Until then, keep flying the plane".
Follow Us Here