Kwa size ya huyo dada hawezi kumkunja hako kadume... I don't know why, wanaume vimbaumbau, vibushuti duuuh wananikosesha stimu kabisa!
Blessed are hearts that bend but shall never broken
maharage yamezidi
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Nilishawahi kusikia kuwa ukitwanga nusu uchi, inazidisha ladha, hapa naona mama anatwaga na sidiria.
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Mbona jamaa anatabasamu! kama sio maigizo basi wanataniana tuu.
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
ivi mieleka WWE wanakataza ku try at home... sasa mbona kama huyu mama na haka kajamaa wanapigana try at HOme
CHADEMA mwendo mdundo - T 2015 CDM
Inawezekana wanaigiza ngumi za kweli khanga na hizo kandambili vingeshasambaratika.Au ndio jamaa anafanya mazoezi ya kuwa Askari wa TZ
Hao wanacheza bwana.
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
halloooo....no comment aisee.
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
Duh!!! Mbona wamekomaa hivyo???
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
hakuna ngumi hapo, they r playing
Jamaa mwenye kikombe cha blue,anaendelea kupata uji ama chai yake bila hata kujishughulisha kuokoa!!Haya yatakuwa maigizo!!!
mhmh kawaida kwa huko kijijini unapenda waweje Young Master ?walaini?
Inanikumbusha mbali sana enzii za marehemu bibi yangu Mungu ailaze roho yake pema peponi!....
WAnatafuta stimu za maloveeee!!
.....Chuma cha reli hakishiki kutu...
umeshanistua kinena babaake.
LIMPETA
wapi hiyo tupige mchongo!!
.....Chuma cha reli hakishiki kutu...
hichi ndicho kilimo chenye tija.....no magugu....no wadudu....kilimo chepesi....faida kubwa....
Follow Us Here