Kweli huyu ni Le Mutuz
kule ikulu wanachezaga kiduku.....
Jk aka sharomagogoni zake ni yooo..yooo...yooo
Au zile za Tatizoo kwetuu Msogaaaaa, mbele shamba nyuma barabaraaaa...yoooo...yooo.yoo oooooooooo
Chini snikers...juu T- shirt kubwaa na jinsi
mkuu.mbuzi mzee inatisha kwa picha........BIGUP MKUU
si mnajifanya vidume mara ya kwanza mmemzalisha kwa kumbaka,sasa anajihami mnasema hatari nendeni sasa na vidushelele vyenu.
LIMPETA
Sasa atakapotaka yeye itabidi aende mitaani kutafuta, maana wasomaji risala hawawezi kupata ujasiri kusogelea mbele ya mtutu huo.
“Mtu anaweza kuzini kwa siri lakini hawezi kuugua ukimwi kwa siri” by Hon Lema, MP - Arusha
Mbona sioni hatari,
DRUNKENNESS IS NOTHING BUT VOLUNTARY MADNESS
Ingewekwa ya JK anacheza mziki ingekua NONGWA,, ooh! hajali watu wanakufa,, yeye anacheza mziki na mkewe tu!!
Mna jema nyie!!!??,, kama lile dude maji linalofanyiwa operesheni,, likiekwa mbele linasema UNANITIA AIBU,, likiwekwa kati OOH! UNANIBANA,, basi kaa nyuma OOH! UNANIDHARAU..... ilimradi kaaaazi kweli kweli
4__________Am not a Tanzanian.
mbona atakuwa yuko training mexico huko,kwani vitu huwa vinampita yule bro
wa kwetu amezoea viuono si haya mambo ya kidhungu.
True freedom fighter, Sio hawa Malaysia wa siku hizi.
michezo iko mingi nadhani huu haujui
anajua ule wa kiafrika
.....Chuma cha reli hakishiki kutu...
jk yake taarab na bongo fleva
Every nation in every region now has a decision to make: Either you are with us, or you are with the terrorists.George W. Bush
Follow Us Here