You are currently viewing our boards as a guest which limits to several features of this site. You may have to REGISTER before you can make a post. By joining our community, you will be able to post comments, communicate in private with other members, download attachments and start your own discussion. Registration is FREE, simple and fast! So please, join our community today!
SEHEMU YA UMATI WA WAOMBOLEZAJI WALIOJITOKEZA KATIKA MSIBA HUO MKE WA MAREHEMU AMBAYE SASA NI MJANE AKILIA KWA UCHUNGU MBUNGE WA RUNGWE MASHARIKI AMBAYE PIA NI WAZIRI ASIYE NA WIZARA MAALUM, MHESHIMIWA MARK MWANDOSYA AKITOA SALAAM KWA NIABA YA SERIKALI IBADA YA MWISHO KWA AJILI YA MAREHEMU DAUDI MWANGOSI IKIWA IMEANZA KUSOMWA
may his soul rest in eternal peace
R I P daudi mwangosi.
Kuna Mijitu ikiona hii picha inajisikia FURAHA na kucheka. Tutaona nani atacheka wa MWISHO kwa Tanzania hii.................. By Mbuzi Mzee
Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).
Hiyo picha mkewe kala juu ya kaburi imenipa hasira na machozi. Waandishi nitawadharau sana mkiruhusu na ili lipite. RIP
Kufiwa kusikie kwa mwenzio.
By dubu Kufiwa kusikie kwa mwenzio. umenena mkuu! hakuna experience mbaya kama kuondokewa na mpendwa wako!
Nirudieni mimi nasamehe, geukeni sasa niwaponye asema bwana wa majeshi!
Forum Rules
Follow Us Here