ase ungeniambia bhana! mwenzio ndio nakula!!!
Have patience with all things, but chiefly have patience with yourself.- Saint Francis de Sales
jamani hivi Mbuzi Mzee unataka watu tumkosee Mungu?
"thought takes man out of servitude into freedom"
'daima tudumu katika upendo'
Eeeh kweli wahenga walisema ya mungu mengi!
Nirudieni mimi nasamehe, geukeni sasa niwaponye asema bwana wa majeshi!
Picha kama hizi zinatukumbusha kumshukuru Mungu kwa mema aliyotutendea, wengine wetu tunaringa na kukufuru utafikiri tulijiumba wenyewe. Eee Mungu utusamehe kwa madhaifu yetu wanadamu uliotuumba kwa upendeleo, sio sisi ni shetani ametukalia vibaya.AMEN
Ni ajali ya BODABODA au hizi GURUNETI jeshi la polisi wa Tanzania zimemfanya ate hivyo??
Asante mungu.
Nakushukuru sana Mungu kwa upendeleo kwa jinsi ulivyoniumba mkamilifu kiumbo.
Thanx God for how you created me
joseph konny kule uganda na charles tayler amefyeka san amidomo ya watu kule, alikuwa na koni anakamata watu anawakata midomo na kuwaachia....unyama mkubwa sana huu.
wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika kuwa watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio Jina lake!
MUNGU: Naomba unisamehe mimi ni mwenye dhambi. Amen
Mungu wangu wewee! sina cha kusema nimestuka sana ila Asante kwa jinsi nilivyo!
acheni mungu aitwe mungu....ASANTE MUNGU
Be brave. Take risks. Nothing can substitute experience.
Aiseeeee
Mkuu Bongo hyo?
Well, kama huyu anafanyiwa tiba na kuonekana nafuu kuliko ilivyo sana. Kama angefanyiwa akiwa mdogo wala asingefika hapo. Hyo cleft lip huwa inarekebishwa kwa surgery. Mara nyingi huwa kuna flying doctors mabingwa wa plastic surgery kutoka Brazil na Egypt huwa wanatembelea sehemu mbalimbali za Tanzania kwa mwaliko wa AMREF. Kwenye meno inafanyika dental job mpaka unamsahau hyo. Sasa sijui ndo mmoja wa victim wa kuishi mbali na health facilities?
"YouR MoST UNhaPPy CuSToMers ArE YoUr GREateST SOurCE Of LEarNInG"- BiLL GaTEs
Follow Us Here