Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari
Muonekano wa mbele wa hekalu la Mchungaji Rwakatare
MC na mchungaji Haris Kapiga wa Clouds FM
Mc Harris Kapiga akiwa kazini.
Watu wakijiachia
Kabati la vyombo
Akiwa katika ofisi yake ya nyumbani, kuna sehemu ya kufanyia mikutano, Salon, Studio, na sehemu ya mazoezi.
Wadau wakijiachia kwenye moja wapo ya kochi la kifahari mjengoni humo
Wakati wa msosi
Mambo ya dressing table
Kitanda chake cha kulalia
---
Mchungaji Getrude Rwakatare amehamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi. Inaripotiwa kuwa waumini wa kanisa lake wapatao 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia nyumba yake hiyo ya kifahari.
Kabla ya kuhamia kwenye hekalu lake jipya Mch. Mh. Getrude Pangalile Rwakatare alikuwa akiishi Mikocheni B katika nyumba nyingine ya kifahari pia.
re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari
By ndevu mzazi
kila siku tukisema makanisa yamegeuzwa miradi watu wanabisha.i dont go to chuuuuuuurch.
God is everywhere kama alivyosema.
Tusipumbazwe akili na wachungajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ii
Kwa hiyo Mkuu unatuhamasisha tuwe tunasalia majumbani kwetu na sadaka tunatoa huko huko? Hivi kweli itakuwaje mtu ukiamu kusalia nyumbani kwako? Hebu endelea kutushawishi Mkuu labda tutabadilika, maana hawa jamaa wamezidi, muda kidogo tu jamaa anakuwa millionaire kutokana na sadaka zetu! Ndo maana hata ugomvi na Kelele haviishi kwenye hivyo viji-Kanisa vyao.
Huyu si yule mwizi wa umememe? Tena anataka tufungiwe JF ili tuendelee kulea wajinga na yeye aendelee kunufaika na millioni kumi na moja kila mwezi huku watanzania wengi wakilala kwenye vibanda vya nyasi. Mungu ataleta mvua na upepo mkali tena akiwa ndani na hizi kuta zitamwangukia zimwuue.
Hawa ndio viongozi wezi, wajinga, na wauwaji wanaotuulia vijana wetu bila sababu huku wao wakijijengea mahekalu yasio na wa kulala ndani. Ni bora watanzania tukaamka na kulinda haki zetu. No wonder M4C inapigwa marufuku kufa na kupona. Mwambieni huyu mama kifo kitamkuta na hatachukua kitu mbele ya haki ila roho yake iliyojaa ubinafsi kwani tumeona mchango wake bungeni jana.
re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari
By RGforever
KATOLIK LILIONA MBALI. No kuoa No KUOLEWA wala Kujenga Mnaishi kwenye Majumba ya Kanisa. Safi sana RC.. Ngoja nikakabidhi mchango wangu wa kumjengea Paroko Nyumba ya Kuishi Parokiani....... Awe karibu nasi
Bila kuwa na msaada wa roho mtakatifu ndani yetu ni vigumu kutambua uweza wa Mungu wetu. Yeye ndiye ajuaye mapito yetu na kutujalia kwa kadiri ya mapenzi yake. Lihimidiwe jina lake Milele na hata milele,
re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari
By sweetlady
Ghali sana snochet .....mtanzania mwenye kipato cha kawaida ataionea madukani tu mpaka kufa kwake!
Unajua at this rate mtu anaweza kuanzisha mradi aka u brand kwamba anashona nguo expensive sana, ambayo haiwezekani kuonekana na watu wajinga na wasio na pesa.
Kisha akawashonea watu nguo za hewa, kwa bei ya juu sana.
Halafu watu wakaenda uchi a la "The Emperors New Clothes".
Na watu wooote wakashangilia "Hii nguo kiboko" kwa kuogopa kuonekana wajinga, hawana pesa na hawajui mitindo mipya.
re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari
By Kiranga
Unajua at this rate mtu anaweza kuanzisha mradi aka u brand kwamba anashona nguo expensive sana, ambayo haiwezekani kuonekana na watu wajinga na wasio na pesa.
Kisha akawashonea watu nguo za hewa, kwa bei ya juu sana.
Halafu watu wakaenda uchi a la "The Emperors New Clothes".
re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari
By Nyani Ngabu
Naona kivazi chake kimeshika nadhari za watu!
Ila mimi sikujua prosperity gospel bongo inalipa kiasi hicho!
Nilidhani ni akina Creflo Dollar tu ndo wenye kufanya matanuzi ya kufa mtu lakini kumbe na wabongo nao wamo!!
Now let's see if they'll start outdoing each other.
Huyo mama ana mingo nyingi anakinga mkwanja, kwenye mishule, siasa, kutumia taasisi za kidini kukwepa kodi, why, kuna wengine washamhusisha hata na mdude.
Kwa hiyo ni mchakalikaji kihivyo, sio sadaka za waumini tu.
Ingekuwa sadaka za waumini tu asingekuwa conspicuous hivyo kwani angeona watamshtukia.
Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.
re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari
By Nyani Ngabu
Huyu naye ana preach prosperity gospel?
The 12th chapter of the Gospel of John says that Jesus had a treasurer, or a "keeper of the money bag." The last time I checked, poor people don't have treasurers to take care their money.
re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari
By Kiranga
Huyo mama ana mingo nyingi anakinga mkwanja, kwenye mishule, siasa, kutumia taasisi za kidini kukwepa kodi, why, kuna wengine washamhusisha hata na mdude.
Kwa hiyo ni mchakalikaji kihivyo, sio sadaka za waumini tu.
Ingekuwa sadaka za waumini tu asingekuwa conspicuous hivyo kwani angeona watamshtukia.
Damn!
But so long as she plays by the rules I can't knock her hustle.
Follow Us Here