JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

  Report Post
  Page 20 of 20 FirstFirst ... 10181920
  Results 381 to 400 of 400
  1. bagamoyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th January 2010
   Posts : 1,736
   Rep Power : 11144
   Likes Received
   418
   Likes Given
   510

   Default Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari   Muonekano wa mbele wa hekalu la Mchungaji Rwakatare

   MC na mchungaji Haris Kapiga wa Clouds FM

   Mc Harris Kapiga akiwa kazini.

   Watu wakijiachia

   Kabati la vyombo

   Akiwa katika ofisi yake ya nyumbani, kuna sehemu ya kufanyia mikutano, Salon, Studio, na sehemu ya mazoezi.

   Wadau wakijiachia kwenye moja wapo ya kochi la kifahari mjengoni humo

   Wakati wa msosi

   Mambo ya dressing table

   Kitanda chake cha kulalia
   ---

   Mchungaji Getrude Rwakatare amehamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi. Inaripotiwa kuwa waumini wa kanisa lake wapatao 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia nyumba yake hiyo ya kifahari.

   Kabla ya kuhamia kwenye hekalu lake jipya Mch. Mh. Getrude Pangalile Rwakatare alikuwa akiishi Mikocheni B katika nyumba nyingine ya kifahari pia.   Picha na Ruma Africa

   Elli, Pasco, Bukyanagandi and 3 others like this.


  2. Zamaulid's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : PANDAGI CHIZA
   Posts : 5,576
   Rep Power : 1753
   Likes Received
   1535
   Likes Given
   921

   Default Re: Nyumba ya Kifahari ya Mama Rwakatale

   Quote By nivea View Post
   alafu cha single kudhihirisha hana mume hahahahaahahahaahahaha
   we nivea umeezeka macho huoni kitanda kina pillow tatu!!!halali peke yake huyo!

  3. Lukolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2009
   Location : Iringa
   Posts : 4,927
   Rep Power : 343226
   Likes Received
   2890
   Likes Given
   2011

   Default Re: Nyumba ya Kifahari ya Mama Rwakatale

   Dunia na fahari yake vinapita. Hata Mfalme Daudi na Fahari yake yote alipita. Hakuna atakayebaki duniani milele. Jipambe jilembe ishi kwenye nyumba ya dhahabu toka msingi hadi paa, mwisho wa siku utaingia kaburini. So hakuna jipya kujua ana jumba la hivi au vile.
   Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

  4. Wandugu Masanja's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th April 2008
   Posts : 1,500
   Rep Power : 5036
   Likes Received
   409
   Likes Given
   791

   Default Re: Nyumba ya Kifahari ya Mama Rwakatale

   ngekewa , bora kibanda chako kina thamani kwako kuliko nyumba ya jirani isiyo na thamani kwako
   Quote By Ngekewa View Post
   Tumeijuwa nyumba ya kifahari ya Mama Rwakatare!

  5. MNAMBOWA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2011
   Posts : 1,465
   Rep Power : 746
   Likes Received
   172
   Likes Given
   145

   Default Re: Nyumba ya Kifahari ya Mama Rwakatale

   kwa yesu kuna raha, ombeni nanyi mtapewa

  6. Nivea's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st May 2012
   Posts : 7,292
   Rep Power : 86133202
   Likes Received
   4431
   Likes Given
   5319

   Default Re: Nyumba ya Kifahari ya Mama Rwakatale

   Quote By evelyn salt View Post
   Toa ulichonacho ndugu, bwana anakuona mpaka moyono mwako!!!!
   siamini kabisa hizi dini ni biashara mnajitolea mnamjengea vyoye anamiliki yeye kwa hela zenu hati zoote kwa jina lake na magarri na kila kitu,uliona mzee wa upako alivkashfu waumini wake siku ile eti yeye ana magari yakifahari na apakizi waumini yote yapo kwa hati yake yeye ni tajiri hahahah blablabla nyingi ambazo kama una akili timamu hutii mguu kanisani kwake.
   PATIENCE IS A NECESSARY INGREDIENT OF GENIUS.

  7. Amavubi's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 9th December 2010
   Location : Mabwe Pande
   Posts : 13,050
   Rep Power : 67429153
   Likes Received
   5091
   Likes Given
   4477

   Default Re: Nyumba ya Kifahari ya Mama Rwakatale

   atagoma kwenda mbinguni huyu, siamini kama ataliacha hili jumba, but uitashangaa kifo chake
   Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya

  8. Amavubi's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 9th December 2010
   Location : Mabwe Pande
   Posts : 13,050
   Rep Power : 67429153
   Likes Received
   5091
   Likes Given
   4477

   Default Re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufuko wa Bahari

   Free Mason in Action
   Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya

  9. Joseph's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd August 2007
   Location : Zanzibar
   Posts : 3,123
   Rep Power : 86231889
   Likes Received
   848
   Likes Given
   620

   Default Re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Natumai waumini wake wana nyumba zaidi ya hiyo yake
   You can never have someone praise you,nor will anyone condemn you,never in the past,not at present and never will be in the future.

  10. Madoido's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 24th January 2011
   Posts : 136
   Rep Power : 518
   Likes Received
   15
   Likes Given
   0

   Default Re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Nimesha kopi hicho kitanda naenda kukipaste nyumbani kwangu,,,,,,raha jipe mwenyewe usisubiri mpaka upelekwe makaburini
   DA SKILL DAT PAY DA BILLS

  11. Emilia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2011
   Posts : 263
   Rep Power : 504
   Likes Received
   83
   Likes Given
   34

   Default Re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Sijapenda kabisa hichi kitanda too much makashkash.

  12. Mkuu rombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th October 2012
   Location : MKUU ROMBO
   Posts : 1,177
   Rep Power : 635
   Likes Received
   286
   Likes Given
   0

   Default Re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   aiseeeeeeee babaangu ngoja mama akasirike awakemee atawageuta bata nyote mnao mchukia

  13. Mwanawalwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th May 2012
   Location : Makongo Juu
   Posts : 850
   Rep Power : 772827
   Likes Received
   243
   Likes Given
   104

   Default Re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   sawa ni nzuri ila interior design yake haifikii ya nyumba ya Mwavita Makamba weeeeeeeee ile ndo hekalu bana hii ya mchungaji nao items za kichina ndo zimejaa sana hata haishtui kama ya mwamvita

  14. Ngekewa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th July 2008
   Posts : 7,403
   Rep Power : 1110527
   Likes Received
   1165
   Likes Given
   704

   Default Re: Nyumba ya Kifahari ya Mama Rwakatale

   Quote By Wandugu Masanja View Post
   ngekewa , bora kibanda chako kina thamani kwako kuliko nyumba ya jirani isiyo na thamani kwako
   Nakubaliana nawe lakini kwa vile nami ni member wa jamii (society) wacha nishangae, nichagize, nifurahie na nihusudi ya wenzangu.

  15. Ringo Edmund's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th May 2010
   Location : MDAWI
   Posts : 4,770
   Rep Power : 1650
   Likes Received
   1031
   Likes Given
   648

   Default Re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eee.
   hivi kufungua kanisa tanzania taratibu zake zikoje wadau.
   msaada jamani.
   ​kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.

  16. kivyako's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd February 2012
   Posts : 2,313
   Rep Power : 899
   Likes Received
   476
   Likes Given
   487

   Default Re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Hili ndo limepitiwa na mkono wa sheria?

  17. lyinga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th November 2013
   Posts : 1,586
   Rep Power : 911
   Likes Received
   476
   Likes Given
   854

   Default Re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By kivyako View Post
   Hili ndo limepitiwa na mkono wa sheria?
   Sio hiyo ndugu ni nyumba nyingine kabisa alijenga kwenye sehemu yenye mgogoro aliuziwa mbuzi kwenye gunia wapambe nuksi.
   kivyako likes this.

  18. kivyako's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd February 2012
   Posts : 2,313
   Rep Power : 899
   Likes Received
   476
   Likes Given
   487

   Default Re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By lyinga View Post
   Sio hiyo ndugu ni nyumba nyingine kabisa alijenga kwenye sehemu yenye mgogoro aliuziwa mbuzi kwenye gunia wapambe nuksi.
   Shukrani mkuu

  19. PEZE's Avatar
   Member Array
   Join Date : 9th March 2013
   Posts : 39
   Rep Power : 387
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   mtumitshi wa Mungu,Mbunge,plus yeye ni mwanamke a.na.ho.n.gwa

  20. Mpimaardhi's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th June 2014
   Posts : 169
   Rep Power : 348
   Likes Received
   14
   Likes Given
   0

   Default Re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Tumpe hongera il a Apache kuvamia viwanja vya watu

  21. Percival's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2010
   Posts : 940
   Rep Power : 721
   Likes Received
   156
   Likes Given
   152

   Default Re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Mchungaji kweli huyu ! anawapiga vizuri bei kondoo na mbuzi

  22. Clean9

  Page 20 of 20 FirstFirst ... 10181920

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...