JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

  Report Post
  Page 10 of 20 FirstFirst ... 89101112 ... LastLast
  Results 181 to 200 of 400
  1. bagamoyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th January 2010
   Posts : 2,398
   Rep Power : 11339
   Likes Received
   666
   Likes Given
   1412

   Default Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari   Muonekano wa mbele wa hekalu la Mchungaji Rwakatare

   MC na mchungaji Haris Kapiga wa Clouds FM

   Mc Harris Kapiga akiwa kazini.

   Watu wakijiachia

   Kabati la vyombo

   Akiwa katika ofisi yake ya nyumbani, kuna sehemu ya kufanyia mikutano, Salon, Studio, na sehemu ya mazoezi.

   Wadau wakijiachia kwenye moja wapo ya kochi la kifahari mjengoni humo

   Wakati wa msosi

   Mambo ya dressing table

   Kitanda chake cha kulalia
   ---

   Mchungaji Getrude Rwakatare amehamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi. Inaripotiwa kuwa waumini wa kanisa lake wapatao 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia nyumba yake hiyo ya kifahari.

   Kabla ya kuhamia kwenye hekalu lake jipya Mch. Mh. Getrude Pangalile Rwakatare alikuwa akiishi Mikocheni B katika nyumba nyingine ya kifahari pia.   Picha na Ruma Africa  2. Kiranga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Posts : 27,953
   Rep Power : 77628742
   Likes Received
   14703
   Likes Given
   2693

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By M Mkwawa View Post
   That is your bigotry. Your name starts with a "cap"!!! Grow up God Hater.
   Haha,

   I only capitalize the names of existing things.

   To be fair, god is a fictional character, so you have a point.

   I am capitalizing his name.

   Here. God.

   Just as I would capitalize Willy Gamba's name. The fictional creation of Aristablus Elvis Musiba.That spymastering spinner of old.

   Happy now? Satisfied?

   But God still does not exist outside of bad fiction, come to think of it, at least Mr. Musiba was not such a prude as those hypocritical brimstone and fire preachers of old. This makes Willy Gamba a far better character than God.

   At least he did not claim to have created all this mess we call the world!
   “Sanity is not truth. Sanity is conformity to what is socially expected. Truth is sometimes in conformity, sometimes not.”: Pirsig, Zen and the Art..

  3. MaxShimba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2008
   Posts : 36,631
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3918
   Likes Given
   679

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By Kiranga View Post

   Do you? You can't even prove yourself. Are you a female or a male? How can a claimer makes claims without existing?

  4. The Boss's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2009
   Location : DARESALAAM
   Posts : 30,625
   Rep Power : 429503182
   Likes Received
   30875
   Likes Given
   29184

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By Kiranga View Post
   Yaani bongo mtu akijipatia vihela vyake huko anaibuka tu na mjengo bila hata ya kuulizia.

   Hata kama mjengo design yake ni malum kwa ajili ya Alpine climes huko ma Swizi barafu zitiririke vizuri paani, yeye anaubwenga tu katikati ya joto la Dar.

   Ili mradi vituko tu.

   Ndani changanya mi faux-pas Roman columns na cheap Chinese plastic, twende kazini.

   Kisha unalipiga picha na kujianika ushamba wako kila mtu aone.
   Umeenda mbali mno kwa kutoa mifano ya Alpine na Swiss land

   kuelewa fashion na style ya Mama Rwakatare
   tazama Nigerian movies.......hii ni copy and paste.....
   Whenever you find yourself on the side of the majority, it is time to pause and reflect.

  5. Shine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 11,545
   Rep Power : 3033
   Likes Received
   1320
   Likes Given
   504

   Default

   Quote By Micha View Post
   Aiseee...kumbe biashara ya makanisa inalipa, ndiyo maana kila siku yanaongezeka.
   Halafu uzuri ana uhakika wa kwenda mbinguni, kwahiyo kwake ni raha tu duniani mpaka mbinguni.
   Hongera sana mama.
   Nani kakudanganya kuna uhakika wa mbinguni? Je wajua mambo hayo anayafanya kwa mamlaka ya nani? La hasha ni siri nzito ambapo siku za mwisho Yesu atakaporudi ndo atatupatia ukweli kwani siyo wote wasemao bwana watauona ufalme wa mbingu

  6. Averos's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th August 2010
   Location : Home
   Posts : 542
   Rep Power : 686
   Likes Received
   95
   Likes Given
   106

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   What next, a grave!
   Better Never than Late!

  7. mukizahp2's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2012
   Location : tandare
   Posts : 514
   Rep Power : 577
   Likes Received
   151
   Likes Given
   662

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   huu ni wizi wa machomacho,na brainwash,watu amkeni sio mna mchangia huyo mama alafu nyinyi hata nauli hamna

  8. Kiranga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Posts : 27,953
   Rep Power : 77628742
   Likes Received
   14703
   Likes Given
   2693

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By M Mkwawa View Post
   Do you? You can't even prove yourself. Are you a female or a male? How can a claimer makes claims without existing?
   Do you what?

   Au unataka mambo ya "She has a knife, isn't he?"

   "You can't even prove yourself" is logically inconsistent and betrays either a lack of knowledge or a criminal laziness.

   And even if "I can't prove myself", whatever that means, that does not show god can prove he exists or my "proving myself" has any correlation with the existence of god.

   Am I a female or a male? What is the relevancy of this question? Send your sister my way and she will tell you for sure.

   How can a claimer make claims without existing? He can't.

   But god did not make any claim, didn't you just claim that god did not claim, the bible was written by copyists?

   Contradicting yourself now?

   Where did god make a claim?
   “Sanity is not truth. Sanity is conformity to what is socially expected. Truth is sometimes in conformity, sometimes not.”: Pirsig, Zen and the Art..

  9. Al Zagawi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2009
   Location : Morogoro
   Posts : 1,306
   Rep Power : 911
   Likes Received
   320
   Likes Given
   143

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By Meander View Post
   Naomba ramani ya nyumba hii mkuu
   kasali kanisani kwake...utaipata tu mkuu!!!
   ...........Uwanja wa siasa katika nchi karibu zote za Kiafrika, ni uwanja uliotekwa na majambazi ambao wanafanya wanachotaka, vile wanavyotaka..........Jenerali Ulimwengu, Raia Mwema Namba 278.

  10. Nyani Ngabu's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 15th May 2006
   Location : Ikungulyabashashi
   Posts : 54,377
   Rep Power : 429508102
   Likes Received
   22878
   Likes Given
   1819

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   I'm curious to know what is underneath that getup.
   Miafrika Ndivyo Tulivyo.

  11. MaxShimba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2008
   Posts : 36,631
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3918
   Likes Given
   679

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By Kiranga View Post
   Do you what?

   Au unataka mambo ya "She has a knife, isn't he?"

   "You can't even prove yourself" is logically inconsistent and betrays either a lack of knowledge or a criminal laziness.

   And even if "I can't prove myself", whatever that means, that does not show god can prove he exists or my "proving myself" has any correlation with the existence of god.

   Am I a female or a male? What is the relevancy of this question? Send your sister my way and she will tell you for sure.

   How can a claimer make claims without existing? He can't.

   But god did not make any claim, didn't you just claim that god did not claim, the bible was written by copyists?

   Contradicting yourself now?

   Where did god make a claim?
   You can't prove yourself, that is a fact. People with very low self esteem syndrome speaks like you. You are not the first God Hater.

   So, stop crying and prove to me that you are not a female. Start to think before you speak God Hater.

  12. Kiranga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Posts : 27,953
   Rep Power : 77628742
   Likes Received
   14703
   Likes Given
   2693

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By M Mkwawa View Post
   You can't prove yourself, that is a fact. People with very low self esteem syndrome speaks like you. You are not the first God Hater.

   So, stop crying and prove to me that you are not a female. Start to think before you speak God Hater.
   If an all loving, all knowing god existed and created mankind, he surely wouldn't have created a pitiful, ignorant, closed minded, chauvinist, impressionable, cantankerous, misogynic creature like you.

   You are the living proof that god does not exist.

   And the more you are frustrated in the quest to prove god exists, the more it shows that he does not.

   For one would think that between one who is beneficiary of the knowledge of god, and the pagan, the one with knowledge of god would conduct himself in a more respectful manner, with the pagan acting like a miscreant.

   Here we see quite the opposite.
   “Sanity is not truth. Sanity is conformity to what is socially expected. Truth is sometimes in conformity, sometimes not.”: Pirsig, Zen and the Art..

  13. Nyani Ngabu's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 15th May 2006
   Location : Ikungulyabashashi
   Posts : 54,377
   Rep Power : 429508102
   Likes Received
   22878
   Likes Given
   1819

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By Kiranga View Post
   If an all loving, all knowing god existed and created mankind, he surely wouldn't have created a pitiful, ignorant, closed minded, chauvinist, impressionable, cantankerous, misogynic creature like you.
   Why the pronoun 'he'?

   Is god a man?
   Miafrika Ndivyo Tulivyo.

  14. Fixed Point's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 30th September 2009
   Posts : 11,323
   Rep Power : 429499315
   Likes Received
   12642
   Likes Given
   12793

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By mwaJ View Post
   Duh! Kweli watu tuna test tofauti. Badala ya kufurahia kulala kwenye chumba chenye mapambo mengi kiasi hicho ningekuwa nakereka! Pako busy ile mbaya! Kweli mama mheshimiwa dokta wa ukweli anapenda mapambo! Yaani kitanda na lile gauni havina tofauti.
   umesahau Mchungaji
   Don't wait for the Perfect Moment,
   Take the Moment and make it Perfect

  15. unbwogable80's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th June 2012
   Posts : 57
   Rep Power : 490
   Likes Received
   9
   Likes Given
   15

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   mim nashangaa sana!huyu mama mchungaji mkutwa ni kuombea watu wafanikiwe na kufulkuza pepo,lakini kuna pepo mmmoja nadhani kamshinda kumtoa na kumkemea sijui!!!!huyu mwanae anaitwa HUMPHREY LWAKATARE anayeishi hapa maghorofani shekilango ni chapombe mbayaaaaaaa na akiamka tu annaanza nazo mpaka analala nazo ..Cha ajbu hata kamlima ka mita 1 hawezi kupandisha mpaka wampe support mtu ya kumshika mkono.

   na ni bado mkijana kabisa ila pombe zinammaliza..kwa wasiyomjua wakija maeneo ya shekilango flats watamshuhudia.

   SASA KWANINI ASIMUUOMBEE HUYU AACHE KWANZA?manakwwazungu wnasema "charity start at ur your home"sasa inakuwaje?ni aibu sasa kwa huyu mwanae.

  16. Fixed Point's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 30th September 2009
   Posts : 11,323
   Rep Power : 429499315
   Likes Received
   12642
   Likes Given
   12793

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By Nyamgluu View Post
   Yani mimi kwa kweli hilo jumba na ma furniture sio taste yangu kabisa!! Siku hizi tunaenda na style na modern contemporary na minimalist.   Interior inakua namna hii   Sasa mtu unajaaaaaaza ma furniture hata kupumua ngumu!
   kwa kweli hata mimi nikifanikiwa "kutapeli" huko sipo. Nyumba kama nini sijui.................
   Don't wait for the Perfect Moment,
   Take the Moment and make it Perfect

  17. Candid Scope's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Posts : 11,857
   Rep Power : 366017344
   Likes Received
   6655
   Likes Given
   4629

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By Mohamedi Mtoi View Post
   Mkuu umenichekesha mbaya! Sisi ndio hatuna makuu kila sheikh anakaa kwenye kamjengo kake na sadaka zote nikwa ajili ya msikiti sio tumbo la sheikh.
   Kanisa Katoliki hasa Ulaya na Marekani marufuku kabisa padre au mtawa (sister/brother) kuwa na nyumba yake binafsi au kwa kisingizio cha familia.

   Wachungaji huko Ulaya na Marekani siku hiizi hukaa kwenye nyumba wakiwa community, nyumba hizo ni mali ya kanisa na wanaofuata wataendelea kuishi humo.

   Alichofanya huyu Rwakatare ni dalili za mbinu za kutumia huduma za kiroho kwa kujitajirisha. Na hakuna sheria ya wazi inayomwongoza katika kazi zake kwa vile yeye ndiye mkuu wa mwisho na ndiye anayetoa miongozo katika kanisa lake.

   Kuna jambo la kujiuliza sana Mchungaji anapata wapi pesa za kujenga jengo la kifahari kama hili kama si kutumia pesa za sadaka wazotoa waumini na mapato ya shule ambazo wahisani wametoa ili kusaidia elimu nchini.

  18. Candid Scope's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Posts : 11,857
   Rep Power : 366017344
   Likes Received
   6655
   Likes Given
   4629

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By Fixed Point View Post
   kwa kweli hata mimi nikifanikiwa "kutapeli" huko sipo. Nyumba kama nini sijui.................
   Anawatoto? Kama ni peke yake jumba lote hilo si afadhali angejenga nyumba nyingine nyingi za kupangisha wenye matatizo mapato yangesaidia yatima nk.

   Jengo kama hili sina mpango nalo kwani siyo future yangu, kwani ulimwengu wa leo watu wenye bongo pana hawapendi haya majumba ya kifahari isipokuwa wenye upeo hafifu wanaopata pesa kwa kuzichapa ngumi ambao walinunua majumba mlima mzima wameishia kufilisika kwani kukata nyasi tu gharama yake ni ya kununulia Range Rover kwa mwaka, sasa fikiria property tax, na mengineyo balaa tupu.

   Yule anayeongoza kwa utajiri duniani anaishi nyumba ya kawaida tu ambayo aliinunua miaka 40 iliyopita na huwezi amini, na amesema hiyo imemsaidia kutunza pesa ambazo sasa zinasaidia kujenga makampuni mengi kusaidia ajira kwa wengi.

  19. mwacheni77's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 727
   Rep Power : 691
   Likes Received
   135
   Likes Given
   1

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Hamuwezi jua labda kahongwa na.......................... ..................... Waumini wake!!?

  20. MaxShimba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2008
   Posts : 36,631
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3918
   Likes Given
   679

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By Kiranga View Post
   If an all loving, all knowing god existed and created mankind, he surely wouldn't have created a pitiful, ignorant, closed minded, chauvinist, impressionable, cantankerous, misogynic creature like you.

   You are the living proof that god does not exist.

   And the more you are frustrated in the quest to prove god exists, the more it shows that he does not.

   For one would think that between one who is beneficiary of the knowledge of god, and the pagan, the one with knowledge of god would conduct himself in a more respectful manner, with the pagan acting like a miscreant.

   Here we see quite the opposite.
   What you wrote is from cadaverous darwin, your diabolic deity who can't help you to evince yourself that you are not a woman. Pundit/blu ray, are you a female or a male? Can you prove it to me. Now, you are calling God :He:!!!! Go and see a physician.

   Stop exposing your low self esteem to the public.
   Last edited by MaxShimba; 30th August 2012 at 03:08.

  21. Kiranga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Posts : 27,953
   Rep Power : 77628742
   Likes Received
   14703
   Likes Given
   2693

   Default re: Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

   Quote By Nyani Ngabu View Post
   Why the pronoun 'he'?

   Is god a man?
   So the Abrahamic fiction purports.
   “Sanity is not truth. Sanity is conformity to what is socially expected. Truth is sometimes in conformity, sometimes not.”: Pirsig, Zen and the Art..

  Page 10 of 20 FirstFirst ... 89101112 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...