Ni nani hasa mwenye kosa? Designer au Mvaaji? Au hakuna mwenye kosa?
Fashion hii ikiingia bongo mnaonaje?
![]()
Ni nani hasa mwenye kosa? Designer au Mvaaji? Au hakuna mwenye kosa?
Fashion hii ikiingia bongo mnaonaje?
![]()
Tatizo ni nini kwenye hiyo picha? au ni Interpretations za watu ndio zinaleta shida???
Be not afraid of growing slowly, be afraid only of standing still. -- Chinese Proverb
Mwisho wa siku watatembea bila nguo na chupi
Hakuna aliyekosea, designer au mvaaji, sana sana ni kutoa maoni ya kurekebisha. Mimi ningependelea ivalie yenywe tu bia nguo nyingine ya ndani.
"Counting down on CCM downfall.
ndo fesheni hiyo,sasa watatembea uchi kabisa
Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs
Huyo alinunua iikiwa nzima kaichanna chana mwenyewe tu
...wedding day..
KAMATI YA CHAKULA NA MAPAMBO....
wedding choolate cake
humberger for honourable guests
Ndafu....
Last edited by ngoshwe; 26th February 2010 at 09:13.
"Mnataka kujua nini? Sikuzaliwa ili nipate nishani... "Please don't make it an issue, acheni suala hilo ni uchonganishi, acheni," - Malecela.
Mbona ya kawaida sana ina nini cha ajabu hapo
Those who are too smart to engage in politics are punished by being governed by those who are dumber. ~Plato:D
Fasheni hii iingie BONGO, Halafu vaa upite Mtaa wa Kongo uone Shughuli..
Follow Us Here