No wonder she's getting younger evrydy
Sasa kwa nini asiuze baadhi awape watu maskini?
Mda wa kuishi duniani ni miaka 80 tu: Mungu akikupendelea sana- basi 90!
Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!
Hili ni fundisho kwa wale mlio na uwezo ku design na kujenga nyumba zenu wenyewe.
Nadhani watu wengi wamezoea kununua makabati au kujengea makabati kwenye nyumba/vyumba vya kulala.Ni vizuri kama una nafasi ya kutosha kuachana na mtindo huo na kujenga walk-in closet..faida za walk-in closets ni nyingi:
1. Unajipa nafasi ya kuwa na mpangilio wa nguo na accessories kama viatu, mikoba, na vitu vingine
2.Unakuwa na chumba cha kulala ambacho ni clutter free na washauri wa masuala ya afya au feng shui watakuambia ni jinsi gani unatakiwa uweke kitanda chako katika mtindo wa kupunga +ve energy kwa kutokuweka vizingiti....
3. Unakuwa na unadhifu katika mpangilio wa nyumba yako
4. Ni rahisi kuona vitu usivyovihitaji na kuachana navyo kupitia kuvigawa, kuviuza etc.
Educating the mind without educating the heart is no education at all.... Aristotle
Educating the mind without educating the heart is no education at all.... Aristotle
Superman We acha tu, kuna watu wanaishi ulimwenguni na wengine duniani!..du!
Bésame Mucho...!!!
Sasa kwa nini mara nyingi anaonekana NUSU UCHI????
Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).
hiyo ndio life style ya ma celebrity karibia wote wa magharibi na ulaya...ukiangalia MTV utasikitika kabisa hapo bado nje angalia parking yake ndio utashangaa kama ni mpenzi wa porch and fancy cars..................wangeang alia africa tunavyokufa kwa kukosa aspirin duuu wangekuja hata kujenga zahanati.....au kutoa msaada wa kununua madawa.....hasa wamama na watoto
"No matter how far down the wrong road you've gone,TURN BACK"
fashion na wakati nd' zinazomfanya aonekana hivyo cuz anataka aende na muda ....
....mmmmmm, It may not be just a case of being 'wajamaa'! Ndio, Serikali zipo na zinakusanya kodi na kwa maana hiyo zinawajibika kuhakikisha kuwa maisha ya wananchi wake ni 'Bora', hata kama si kwa standard ya akina Mariah Carey! lakini kuna lile suala la majukumu ya kibinadamu kutopka binadamu mmoja hadi mwingine. Ni kweli ni nguo zako lakini how can you own so many magauniz kiasi kwamba unaweza kuyavaa miaka mitatu bila kurudia moja katika ulimwengu huo huo ambao mwanamke mwenzanko anatembea Uchi????
Its because of indivualistic tendencies inherent in almost everyone one of us-- everybody for him/herself and GOD for us all!By BabaDesi;490244[B
Wewe ulishawahi kujiuliza mara ngapi kwanini unamudu kula milo mitatu kwa siku wakati jirani yako labda hawezi kumudu hata chai ya asubuhi?
Educating the mind without educating the heart is no education at all.... Aristotle
Ndio maana tunahitaji Nguzo 5 za Ujamaa!
"Each generation must, out of relative obscurity, discover its mission, fulfil it, or betray it"/Kila kizazi, katika utata wa kipindi chake, lazima kiutambue wajibu wake na kiutekeleze au kiusaliti - Frantz Fanon
...Sijawahi, my Dear for the simple fact that katika hiyo milo mitatu unayosema mara nyingi mimi na mama inabidi tujibane kidogo ili watoto washibe kwa maana ya kwamba haina uhakika na hisani haitakiwi kuzidi uwezo!
Lakini definitely, definitely siku nikiweza kuwa na ndoo kumi zilizojaa mchele na sukari stoo kwa maana ya kuwa na a surplus of everything nitapaswa kujiuliza mno juu mtoto wa jirani anayekwenda shule na mwanangu huku akiwa hajakunywa chai asubuhi!
lakini wakati tukisubiri kuwa na hiyo surplus tunafanya kile kilicho kwenye uwezo wetu kwa kumuita mtoto wetu aje kula na mwenzake aliyekuwa anacheza naye na sio kumuambia yule mtoto mwingine aende kwanza nyumbani mwenzake anataka kula!!
Wewe je Dia, huwa unafanyaje?
Baba Desi,
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu....wakati mwingine unashikwa na huruma sana unapoona kuna mwenye shida ambayo ungeweza kusaidia.... mara chache mtu unaweka jitihada kusaidia... mara nyingi unajiona umezidiwa na majukumu na kushindwa kumfikia mwenye shida.Ila kwa mtu aliye karibu zaidi kwa maana ya ndugu au rafiki kuna wepesi zaidi wa kuji stretch zaidi na kutafuta muda kusaidia kutatua shida kuliko mtu baki.Najua hii si sawa na hakuna siku muda utatosha badala ya saa 24 ziwe 27! ILA NITAJIREKEBISHA MUNGU AKINIJALIA.
Educating the mind without educating the heart is no education at all.... Aristotle
Thats how a celebrity should be.......
Ni mambo ya kujipenda na kuwa mfano wa kuigwa. Naamini wapendwa wetu akina M. Odemba, F. Matata, C. Masasi na wengine wengi kwenye fani ya u-model wakiona haya, watavutiwa sana sana.
Keep it up Mariah Carey.... Unawapa hamasa sana ma-model wetu wa bongo kufikia huko uliko.......
Daaah...its a boooom!! kuna watu wanaishi JUU YA JUA
na wangine CHINI YA JUA....huyo ndiye "MC".
Follow Us Here