mkuu wa kaya akiwa na superstar wa rock anayejihusisha na misaada kwa jamii ya kusini mwa jangwa la sahara.
mkuu wa kaya akiwa na superstar wa rock anayejihusisha na misaada kwa jamii ya kusini mwa jangwa la sahara.
You may succeed in silencing me but that silence comes at a price-Alex litvinenko
Mmmh jamani mtu huyu basi tena
Blessed are hearts that bend but shall never broken
omba omba kazini. nina hasira naye. aturudishie vijisenti vyetu alivyoweka uswisi.
hopkingsclark
Vasco da gama!
' jaman hali ni mbaya hakuna plan B..hacpo tafuta mtakula nn wajamen?..kuwa matonya co zambi
Jk ni noma kesho unaweza ukamuona na camp mulah.
anaona rahaaaaaaaaa mwenyewe kuzunguka zunguka hovyo huko nje!!!!!
nasikia JK anapenda sana music ya U2
aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeh.
LIMPETA
Mnh, hivi kuna star gani kabaki? Yaani bila aibu tunaombaomba kila mahali kwa kila mtu!
“Anyone who has never made a mistake has never tried anything new” -
Albert Einstein
Follow Us Here