Kipanya na magazeti ya leo tembelea www.mjengwablog.com
Kipanya na magazeti ya leo tembelea www.mjengwablog.com
Hajatukana,wewe ndio unataka uaminisha watu kua ametukana.
Acha uchochezi, simply anawakumbusha waislamu kuwa kwisha kwa mfungo mtukufu sio mwanzo wa maasi! hana nia mbaya hata mashehe wamekuwa wakihubiri kuwa waislamu waendelee kutenda mema hata baada ya mfungo. Ndio ujumbe wa kipanya! Unafanya uchochezi kwa watu ambao unajua ni reactionary! Usifanye hivyo tena!
sioni tatizo kafikisha ujumbe,waslam waendeleze yale waliokuwa wanayafanya kwenye siku za mfungo si kuyatupa kapuni....
Ni UJUMBE na sio matusi. Naamini unatatizo la kuelewa "the humor" behind cartoonist depictions. Je
Hufahamu kwamba kuanzia Leo mauzo ya pombe yataongezeka maradufu? Jiepushe na uchongsnishi wa kid ini hasa ya kiislam kwani madhara yake kwa unayemchonganisha ni makubwa.
At least ameongea ukweli! Manake leo na nyumba ndogo zitapelekewa nyama na mchele. Walau, manake kutolewa out ni mpaka hangover ya utakatifu ipungue, jumanneee!
Ramadhani ingekuwa mwaka mzima na selective days za kufunga, mambo yangekuwa tofauti
Hata ukiwa ccm ukisema ukweli wana kuona wewe upo ipinzani
For tommorow belonging to those people who prepared fo it
hakuna matusi hapo usitake kutupandisha jazba wakati watu tuko kwenye furaha ya eid. Atakae rudi kwenye maasi baada kuisha ramadhan ndio ameutukana uislam na kuidhulum nafsi yake. Eid mubarak.
Hakuna tusi dhidi ya waislam hiyo ni tafsiri yako.
King'asti,
Karibu nyumbani tujumuike sote kwenye Eid.
Dah kweli hii hatari,kama hii picha ndio anaambiwa ametukana waislam basi jamii siku hizi haitaki tena mafundisho kwa kisingizio cha dini, tena ni dini hiyo hiyo ndio inapaswa kumrekebisha mwana nchi na jamii kwa ujumla. Naombeni kila mwenye dini kurudi kujifunza from the basics achilia mbali kwamba wewe dini ulirithishwa na hukuwahi hata siku moja kujifunza kwa hamu wewe kama wewe. Maana naamini katika hizi dini kuna mambo mengi yanafanana kama amani,upendo,kukataa dhambi,mafundisho n.k basi tuanzie hapa kwanza. Ushabiki unatuua na wote tunaweza kujikuta tuna enda motoni kwa sababu ya kumwacha Mwenyezi Mungu na haki yake.
Tusi lipo wapi hapo mkuu?.
Hajatukana, ni mtazamo unaotokana na hali halisi.
acha uchochezi mkuu........
!!..BAR ikiwa na wahudumu wa KIUME TUPU sikai dakika nyingi..!!
usimtafutie fitna kipanya na waislam! ... hapo anawadhihaki wale walioshinda na njaa! ukiona umefunga mwezi mzima na mwezi ukaisha ukarudi kufanya ufiraun ujue moja kwa moja umeshinda na njaa!! mwezi mzima..
Plato wewe ni mfitini hufai kabisa kuwa katika jamii wa watanzania
Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
Follow Us Here