Attachment 62374
Kipanya na magazeti ya leo tembelea www.mjengwablog.com
Attachment 62374
Kipanya na magazeti ya leo tembelea www.mjengwablog.com
Ukweli unauma eeh! Kama wewe huendi huko inakuhusu nini?
By the time a man comes to realize that his father was right, he usually has a son who think he is wrong.
kipanya kakumbusha, tatizo kuna watu wafitini wanataka kujaribu kuudhalilisha uislam na kuleta fitna, mwisho wa ck utasikia wanalalamika kuna udini wakati wao ndio wanao uchochea.
matusi ya wapi hapo tena mkuu??? hivi kueleza ukweli ambao sasa umekuwa ni open secret nao ni uchochezi????!!!!!!!
...........Uwanja wa siasa katika nchi karibu zote za Kiafrika, ni uwanja uliotekwa na majambazi ambao wanafanya wanachotaka, vile wanavyotaka..........Jenerali Ulimwengu, Raia Mwema Namba 278.
hii katuni imefukisha ujumbe kabisa.
wala si uongo hata kidogo.
Follow Us Here