Kitalolo Umeitengeneza siku yangu huku Ughaibuni. Kwakweli hiyo nimeipenda
MAN IS A TWO FOLD BEING HAVING A DIVINE AND AN ANIMAL NATURE . IF HE FEELS AND THINKS AND ACT AS A DIVINE BEING SHOULD ACT, HE IS A TRUE MAN; IF HE FEELS AND ACT LIKE AN ANIMAL, HE IS THEN AN ANIMAL
dah hilo basi la kijani linanikumbusha mbaliii sana
"If I have seen further it is by standing on the shoulders of Giants" (Newton, 1675)
ebu tuone injini
Dont frown while GOD is smilling
hahaha, hapo umesema kweli, unaweza kuona gari zurii kwa nje, lakini injini mbovu na haifiki mbali imeshachemka...lakini mengine ni mabovu ila yanaweza kwenda hadi kijiji cha mbali kwenye vumbi bila hata kuchemsha....tuone injini kwanza aisee, ama la tufanye mpango wa kununua injini kama hatuna uhakika nayo, ile bora zaidi kabla 2015 haijafika.
Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!
mie napanda hiyo marcopolo, MS vipi nikuwekee seat?
They wiil disqualify you for the little weaknesses you have and they will never glorify you for the great strength you have shown, Phd- Houston Texas July 23, 2012
Nimeipenda hii
A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! "Dont Loose your temper nobody need it"
Mnaota nyie ndoto za watoto wa miaka mi2
kwa barabara za kibongo zilivyokuwa mbovu ni mara kumi hlo la kijani maana hlo la juu lipo luxuriously na haliwezi mikiki ya road za tz labda 2025 tukiwa na flyoverz ndio itakuwa mwake
Mkuu kitalolo Mbona hili Basi la CCM Limechoka namna hii? Umeyapata wapi haya Mabasi?
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Follow Us Here