--------
--------
There are some people who could hear you speak a thousand words and still not understand you. And there are others who will understand—without you even speaking a word.
khaaaa!!!sa hyo ni suruali au!!??
jamaa nasikia ni diwani wa kata moja hivi maeneo ya mwanza..kupitia magamba.
Boflo .. huyu ni Diwani wa CCM huko Dodoma jimboni kwa yule Mbunge wa CCM mwenye matusi ... Mh Lusinde!
.
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
Ni kiboko
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
Ana moyo kweli ingawa miigizo mara nyingi humuumbua mwenye kuifanya. Ujana mwingine unatumiwa vibaya kama wakati wa kuonyesha ujinga badala ya kuandaa uzee.;
Boflo, huyo jamaa yako viatu kama joker la kwenye karata!
Mweeeh tata jobaaah!fwana kungeta ngimbo oli ni syako see! Angwenda nghelebhuno!!
sipati picha akigeuka mbele
ASIYEUMBA HAUMBUI
ni diwani katika jimbo la mtera kwa lusinde....
I'm Naturaly Evasive..
Hiyo ni high cut ya isiyo na mpenzani. haivaliki mlegezo hiyo.
“Anyone who has never made a mistake has never tried anything new” -
Albert Einstein
zipu ina ukubwa gani?
sasa akibanwa na uharo itakuwaje.
LIMPETA
Huyo muuza mitumba pale kariakoo. Ofisini kwangu ukija hivyo nakurudisha
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
Follow Us Here