Mbona Kaiga kutoka kwa Wanaume.
Ndo style yao ya siku hizi hiyo Mzee Mtambuzi...Au huna habari?
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
wanaiga kila kitu
Kweli kuishi Tanzania kuona mengi
mkuu mambo ya tabata hayo sio
MZUNGU AKIJICHUBUA HUJUE MOYONI ANA UAFRICA!.by stamina
Mambo hayo yameenea sana, kila pembe hapa mjini... hahahahahhahahhaha nakumbuka mwimbo fulani wa zilipendwa.
Aisee mkuu, hiyo style siku hizi imeshahalalishwa! nimeona wamama wa heshima kabisa katika shughuli za heshima kabisa wakipiga hiyo, nikajua basi ishakuwa "legal"...hahahahahahahahahaha...mjin i hapa!!!!!!!
"To greed, all nature is insufficient"
Mitego hyo!
Mbona kawaida tu jamani....
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Mmmh! mi simo,ht kwetu wapo.
angekuwa na ta_ko kubwa afu aibane iyo nguo ingekuwa balaaaaaaaa
Unashangaa nenda Somalia ma Ethiopia..... Kawaida saaaana
Never hate people who are jealous of you,
Instead love them because they're the ones,
who think you are better than them…
anakutaarifu kuwa iko yenyewe ndani
kwakweli nimeachwa.
yaani sijaelewa chochote
Last edited by mhalisi; 11th August 2012 at 19:35.
mtambuzi anachojiuliza ni kuwa hilo gauni amelichomeka kwenye nini!!!
Gauni alilovaa ni refu sana hivyo amelichomeka hapo ili lipande juu lisije mkwaa akaanguka.
“Anyone who has never made a mistake has never tried anything new” -
Albert Einstein
Follow Us Here