Nani anaijua hiyo nyimbo ya maharusini........?
Nani anaijua hiyo nyimbo ya maharusini........?
There are some people who could hear you speak a thousand words and still not understand you. And there are others who will understand—without you even speaking a word.
Hiyo ni 'kidani'....
Halafu ni 'donge lote, umenipa kinyama mkononi kuonja'
Last edited by Nyani Ngabu; 10th August 2012 at 14:10.
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
duh jamaa wamemtega simba kwa ulaji huo...ngoja amalize awachenjie!!! thanks boflo!
Jamani huyu MBUSI alikuwa anapelekwa kwa MKULU au??? Maana hadi anachekiwa kama ana VIHATARISHI VYA AINA YA MILIPUKO kwa kutumia metal detector???? (Tanzania kuna vimbwanga:-)
uwwwi ndifwa!
ASIYEUMBA HAUMBUI
Huyo mbuzi alimeza metal?
Information is not knowledge
Albert Einstein
* LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF
Watu Mnadanganywa Mapema NYIE. Photoshop hiyo
1..Angalia Miguu ya Simba ilivyo by the law of gravit haiwez kuwa hivyo.
2. Hakuna lirelation kati ya Watu kwenye Gari na Simba hasa hasa hao wa mbele! Mwangalie bibi na babu hapo mbele, simba hawezi kurukia GARI bibi bado ameshikiria steerng! Whenever there is action, there is reaction.
3. Lastly, simba mwenye Njaa anamkamata Binadamu kwanza

Boflo hii mbona ni kujihatarishia maisha aisee
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Boflo hiyo mbona tunafanya sana Serengeti? Ndio maana tuna ushujaa wa kutaka kuwapiga majirani wakorofi
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
watu wabunifu
Follow Us Here