1)mwarabu ni nani?
2)waarabu wapo katika makabiila makuu mangapi? yataje,
3)mavazi ya waarabu ni yapi? (kumbuka waarabu sio watu wa aina moja) na mavazi yanatofautiana,
4)usilamu unapishana na mila za kiarabu zipi?(maana umesema umewasoma,naamini majibu yako yatatusaidia tujue uelewa wetu juu ya WAARABU)
5)haki zipi za binadamu walizo keuka waarabu(wa dini zote mayahudi,wakristo na waislamu,na kuna waarabu wa dini ya hindu)
6)haki zipi walizokeuka waislamu?
hope utanisaidia kunipa ufahamu zaidi hapa,
Huoni kuwa tumeshatoka nje ya mada na bado unataka niendelee kukufahamisha ambayo ulikuwa huyajui,anzisha mada inayojitegemea katika hayo maswali yako na nitakueleza kadri ya uwezo wangu na nina imani wengi watakusaidia pia ili uweze kuwafahamu vizuri hawa watu..
UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE . By Simon Kitururu.
Msiznguke sana jibu ni kwamBa, kafiri wake moto tuuu. Nakuhusu hii picha ni ishara tu kuwa anayejisitiri basi anzuia mengi na uenda atuona mlango wa pepo hata kama hatoingia au kuishia njiani,mana hata ngazi hawajapanda je wakidondoka, na hiki kicheche kingine kinaweza kikaishia njiani afu mungua akakisamehe!
MZUNGU AKIJICHUBUA HUJUE MOYONI ANA UAFRICA!.by stamina
Huoni kuwa tumeshatoka nje ya mada na bado unataka niendelee kukufahamisha ambayo ulikuwa huyajui,anzisha mada inayojitegemea katika hayo maswali yako na nitakueleza kadri ya uwezo wangu na nina imani wengi watakusaidia pia ili uweze kuwafahamu vizuri hawa watu..
naona ulipindisha mada lkn kama huwezi kujibu basi poa,
mungu anapenda vimini ? muendele kuvaa hivo na mumche mungu?
kwanza nikusafisha ndani alafu uje nje.
eti inawezekana muumini wa kweli awe mchafu madhabi ya kutamanisha watu na kuuza mwili wake kwa mavazi machafu ?
Je Mungu alimuumba Hawa na kumvisha hijab?? si bora kimini, Hawa na mme wake walipojitambua walikuwa uchi, wakaamua kujivalisha majani ya miti, Mkuu dini haikuanza jana wala juzi ilikuwepo kabla ya ukiristo na uislam, kabla watu hawajagundua viwanda vya nguo, kabla ya kuzaliwa mitume. sasa jiulize technologia ya kutengeneza hijab iligunduliwa lini ukilitafakari hilo kwa makini ndo utajiona jinsi ulivyo mtupu mkichwa.
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE
Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26) My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
unajuwa hawa ndugu zetu ni wajinga au wapumbavu,Sir God haangalii mavazi,na hyo mavazi wanayoyasema wao n ya eneo fulani huko ndo vazi lao la asili na siyo dini,tatizo elimu yao imewapitia kushoto,watakuwa wajinga mpaka Yesu atakaporudi hakuna kuwastua waacheni kama walivyo
i see ... so wenye elimu ya kutosha wanapigia magoti sanamu ya mzungu na kuiabudu ..?!
Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26) My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
Tatizo kubwa la ndugu zetu ni kuchanganya wivu wa kiarabu ,tamaduni za kiarabu na Mungu,huko uarabuni kiwango cha joto ni zaidi ya 45c,na wamemvalisha mwanamke liguo jeusi linalosharabu mwanga ili asitoke ndani na hata akitoka basi cha moto akione kwa kuunguzwa na jua ,wakati wanaume wamehakikisha kuwa wao wanavaa kanzu nyeupe rangi inayoakisi mwanga na kupunguza miale inayomchoma mwilini.Sasa ndugu zangu mnaopokea dini kimapokeo tu mnataka kuwalazimisha na dada zenu wajifunike minguo mwili mzima kwa kisingizio kuwa watamwona Mungu hamuoni kuwa ipo siku mtakayotakiwa kujibu kwa unyanyasaji huo mliomfanyia mwanamke..??
umekurupuka!
1 ) si tamaduni ya kiarabu bali ni tamaduni ya kiislam ni Quran & sunnah imetuamrisha tujisitiri hivo ...
2 ) hijab sio lazima iwe nyeusi na kanzu sio lazima iwe nyeupe.. hujaona kanzu nyeusi.. blue.. kijivu ...?? and so do hijab....

Follow Us Here