Wote wakareee maodinareeeee!
Mbombo ngafu jilipo
USAIN Bolt bana
Kweli kuishi Tanzania kuona mengi
Huyo jamaa atakuwa na medali ya dhahabu mkononi,,amewakilisha nchi yake vema
Hivi Tanzania hatukushiriki mwaka huu? Teh teh teh kichwa cha mwendawazimu...........
katisha jamaa
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Follow Us Here