Re: Picha za matukio mbalimbali ya Kikwete akijenga taifa..

By
zomba
Wewe lete zako ambazo zipo tofauti, unaweza kwenda kwenye website ya UNDP uwaulize wanafanyaje kupata hizo takwimu.
Au hukuona zimetoka wapi? pitia pitia humu utaona tu, na link ipo.
Mimi huwanaaiangalia jamii inayonizunguka sasa ukiniambia niende UNDP wakati ukweli naangalia mtaani kwetu watanisaidia nini zaidi ya kumpamba bayuwayu...
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X
Follow Us Here