Mtizame binti wa kushoto. Kwa jinsi anavyoshangaa ni kama wenzie wamevuka mipaka kwa namna walivyomkumbatia Obama.
yes....
Bora Kikwete anaweza hata kusmile. Imagine yule babu wa Karatu angekuwa rais...mmmmh!
Rejao bwana! Smile ndo priority? Hizo zinaitwa added advantages. Smile is all he has, hana nyimbo huyo wa kwenu!
Hahaha. Baba V, sitaki kukoment zaidi juu ya hili cuz tutahama kwenye mjadala. Kipindi hiki najitahidi kuwa mwema.
Heeeee.. King'asti, nani huyo kakupa gepu? Nipe basi kontakti zake?
Kama mmeelekea huko kwaherini...
Ngoja niangalie pa kwenda.
Follow Us Here