Eti ni kweli kuhusu Africa?
Eti ni kweli kuhusu Africa?
Hayo mawazo ya mpuuzi mmoja anayetaka kupata sifa. Who told him that Africa has all bad things without any good one? We are poor yeah. But we are just poor materially. When it comes to humanity we are richer than even those aggrandizing themselves to be richer.
Kwahiyo Australia wamesalimika!
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Dambisa Moyo, Mzambia huyu aliwahi kusema ramani ya Afrika imekaa kama bastola, ukiamua kushika kifyatulio kwa chini mbonyezo uko DRC, kwa kulia uko Somalia, sidhani kama kwa maelezo bila kuonesha nimeelekweka but food for thought hii
he
bu ona na hii
Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya
Ukiangalia ni kweli lakini huyu aliyechora anayo akili nimeipenda hiyo ramani ya dunia mkuu Mbuzi Mzee
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Follow Us Here