Katika dunia ya leo ni muhimu sana kuwafundisha wadogo zetu
na watoto wenu elimu kuhusu sex na madhara yake. Unapata taabu ya
kumuelekeza mdogo au mwanao? chukua darasa na tumia hizi picha kumuelewesha
ili atambue sex ni nini na ajue namna ya kukwepa.
Hapo sasa darasa linaendelea. kwa wale ambao ni members na hawajaelewa vizuri
nitatoa mifano halisi. a 3some ni when mimi Ero tukiwa na Kaunga tunamkaribisha
mtu kwenye tendo, kama vile maybe klorokwini.
Hio ya haterosexual ndio hio ambayo imebarikiwa na kukubaliwa katika vitabu vya dini pinzani
za Kiislam na Kikristo. Wote wakiwa na adam na eva walio wakilishwa hapa jamvini na Rejao
na Cantalisia au Kaizer na gfsonwin au Mr Rocky na Yummy au mimi Ero na HYGEIA.
Hio couple swapping hutokeaga pale ambapo Ero na HYGEIA siku hio tunaamua kuswap wapenzi
na Kaunga na Eiyer. sema tu Eiyer huwa anasumbuaga kuingia line hadi tumtongozee weeee!
natamanigi awe kama The Boss, Nyani Ngabu, Ndahani, Erickb52 au hata @RR
Hio ya gang bang, usiombe hapo unakuwa mamito umebakwa na kundi zimaa! kama vile team
ya wengi kama vile ile krew ya siasa yote ile ya wenye vurugu. unahisi kufa kufa kama sio kufa kweli!
hio paedophile ni fataki wakutaka watoto wadogo, baba zima uvivu wakutongoza anawadangaya
watoto kwa chips na soda na alf 5 or 10 kwa madai ya kukwepa ukimwi or kukuta bikira. kuna watu
wana bahati hawakudanganyika wala kushawishika wakati wanakua kama vile Smile nahisi na Mwali.
Hio ya viagra kochongeo kimeongea chenyewe.
Hio ya gay na lesbian ndio hio ilifanya Invisible atupige mkwara wadau kule kwenye jukwaa letu la wakubwa.
akina Zinduna, kibweka, SILENT WHISPERER, cartura na wengine wengi kuandamana!
Katika dunia ya leo ni muhimu sana kuwafundisha wadogo zetu
na watoto wenu elimu kuhusu sex na madhara yake. Unapata taabu ya
kumuelekeza mdogo au mwanao? chukua darasa na tumia hizi picha kumuelewesha
ili atambue sex ni nini na ajue namna ya kukwepa.
Asante kwa somo la kutambulisha sex kwa watoto. Je wataepukaje menstruation na ejaculation.
Pia sikujua kama menstruation inatambulishwa kama sex.
Weeh Erotica unikome, mie kibabu ntakipeleka wapi? Si bora unilengeshee kwa BAK (napenda kicheko chake, kina haiba). Huyo babu mkaguzi hawezi kutwa mara tatu!
Weeh Erotica unikome, mie kibabu ntakipeleka wapi? Si bora unilengeshee kwa BAK (napenda kicheko chake, kina haiba). Huyo babu mkaguzi hawezi kutwa mara tatu!
bora umethibitisha kama nilivosema haijathibitishwa bado. huyo Bak wa ukweee!
Best mie kulengeshewa sifagilii hata kidogo napenda ile process yote ya kumfukuzia mtu mpaka pale anapokuwa huru kutamka tena kwa mahaba...I love U BAK...lakini hawa wa kujilengesha eeeeeeeewwwwwwww!
By King'asti
Weeh Erotica unikome, mie kibabu ntakipeleka wapi? Si bora unilengeshee kwa BAK (napenda kicheko chake, kina haiba). Huyo babu mkaguzi hawezi kutwa mara tatu!
Ngoja ningojelee kufukuziwa,lol!
Sasa hii dedication hadi niibe modemu ya maza akilala.
By BAK
Best mie kulengeshewa sifagilii hata kidogo napenda ile process yote ya kumfukuzia mtu mpaka pale anapokuwa huru kutamka tena kwa mahaba...I love U BAK...lakini hawa wa kujilengesha eeeeeeeewwwwwwww!
"....It was dawning on me that I was giving my son the same advice my parents had given me. The world around us has changed, but the advice hasn't...."
...Robert T. Kiyosaki
Follow Us Here