Naanza kuwa na wasiwasi na wanausalama wetu hawa, sasa kama kweli hii nguvu inatumika kukamata watoto hawa wadogo waliotelekezwa na walimu wao walioko kwenye mgomo, ni nini mustakabali wa jeshi hili!?
Hizi picha zimepatikana kwa hisani ya magazeti ya Mwananchi na mtandao wao.
“those who are so ready to take what is not theirs must be ready to loose what is theirs”
hUKU NI KUPOTEZA MWELEKEO BILA CHENGA!
Kumkamata mwanafunzi kunasaidia au kunahusu nini aisee?
Aibu aibu aibu...ptuuuuuuuuuuu!
"The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man. What a man is, survives him... it can never be buried" (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM). [email protected]
mie sishangai,hatuna wanausalama ie jwshi la polis tz,tunawanamgamboccm!kazi kweli,hii nchi ukikabidhiwa sijuiutaanza na idara gani,maana zote ni matatizo matupu,kila kitu kifanyike as if uhuru umepatikana jana.
Inasikitisha
Halafu wehu wanakuja sema CHADEMA wamewatuma kumbe ni udhaifu wa serikali na uongozi kichaa...
kuwasha hizo defender inataka mafuta alafu sijui risasi au bomu moja la machozi linauzwa bei gani mpaka linatumika katika matumizi yasiyo na umuhimu kwa taifa hata na jeshi lenyewe. Very sorry!
“those who are so ready to take what is not theirs must be ready to loose what is theirs”
Naanza kuwa na wasiwasi na wanausalama wetu hawa, sasa kama kweli hii nguvu inatumika kukamata watoto hawa wadogo waliotelekezwa na walimu wao walioko kwenye mgomo, ni nini mustakabali wa jeshi hili!?
Hizi picha zimepatikana kwa hisani ya magazeti ya Mwananchi na mtandao wao.
Umaskini wa akili unaowasumbua baba zao,kaka zao mama zao pamoja na dada zao waliokula mchele na kupewa kanga na tshirt za Magamba ndio unawaumbua wakati huu,waache wapate kipondo then baba zao watapata akili hapo 2015!
We can not Reverse the past,but we can learn from it!
Hii nchi vyombo vyote vya usalama vinafanya kazi kwa ajili ya kuwalinda magamba, mbona mpaka dk hii hawajambeba mke wa Mhando aliyeiuzia TANESCO stationeries kwa bei ya kuruka? Au waliochukua nguzo za umeme toka Mufindi na wakafoji kuwa wameimport toka South na walioleta mfuko mmoja wa misumari toka UK wakidai kuwa ni spare parts za mitambo yetu ya kuzalisha umeme??!! Siku zote wao kazi yao ni kuwatisha raia wa kawaida wa mitaani wasio na hatia!! Shame on the them vyombo vyetu vya usalama!
Naanza kuwa na wasiwasi na wanausalama wetu hawa, sasa kama kweli hii nguvu inatumika kukamata watoto hawa wadogo waliotelekezwa na walimu wao walioko kwenye mgomo, ni nini mustakabali wa jeshi hili!?
Hizi picha zimepatikana kwa hisani ya magazeti ya Mwananchi na mtandao wao.
Kwa akili matope waliyonayo wanausalama wetu, huenda kuna mahali walitumia mabomu ya machozi kwa hawa watoto! Hii ni aibu ya mwaka!
naanza kuwa na wasiwasi na wanausalama wetu hawa, sasa kama kweli hii nguvu inatumika kukamata watoto hawa wadogo waliotelekezwa na walimu wao walioko kwenye mgomo, ni nini mustakabali wa jeshi hili!? Hizi picha zimepatikana kwa hisani ya magazeti ya mwananchi na mtandao wao.
kuna hilo hapo pembeni linakatamani sana hako katoto maskini mweeee??? Sijui kama waliachwa bila kupapaswa papaswa na hawa mafilauni??? Halafu mbona wame wakamata watoto wakike peke yao???
kuna hilo hapo pembeni linakatamani sana hako katoto maskini mweeee??? Sijui kama waliachwa bila kupapaswa papaswa na hawa mafilauni??? Halafu mbona wame wakamata watoto wakike peke yao???
na ujue haya mambo yanaonekana mpaka nje ya mipaka na wote tunakuwa judged kama Watanzania, we acha!
“those who are so ready to take what is not theirs must be ready to loose what is theirs”
Follow Us Here