analia with style
Blessed are hearts that bend but shall never broken
RIP watanzania bado tunakukumbuka!! Shujaa wetu kama ungeweza kurudi leo nahisi usingeamini kwa kile kinachoendelea!!
GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!
nikikumbuka vifo vya watu kama hawa ndio nakumbuka pindi nchi yetu ilipoanza kuzama kwenye bahari ya nungwi.rip
LIMPETA
jembe lililotutoka
R.I.P miss u so much!
"Honesty is very expensive gift. Do not expect it from cheap people".
-Warren Buffet
Rest in peace 4ever masai original we are missing you.
Hata kama kuna baadhi ya watu hawaoni umuhimu wa Sokoine lakini ukweli utabakia palepale kuwa alikuwa ni mmoja wa viongozi wachache sana ambao waliweza kusimama katika kile walichohubiri.Mfano mdogo ni pale alipotangaza vita dhidi ya wahujumu uchumi kuna watu ambao walitupa masanduku yaliyojaa fedha sababu tu hawakuwa na maelezo ya kutosha kuelezea jinsi fedha hizo zilivyopatikana.Na sio sasa hivi ambapo kiongozi anatangaza vita dhidi ya umasikini wakati yeye ndio kinara wa kuwahujumu wananchi wake.RIP Edward Moringe Sokoine,the true son of Tanzania na taa iliyozimika wakati bado inahitajika..
UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE . By Simon Kitururu.
Happy Birthday.
Goon too early; Rest In Peace Edward Moringe Sokoine.
Apumzike kwa amani..Amina
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
happy b.day mukulu!
.....Chuma cha reli hakishiki kutu...
Follow Us Here