Mhh lakini tunaishi wengine kwa ajili ya hiyo tumbaku!!!!
" To be happy, we must not be too concerned with others"
Dah! Bora nile cha-arusha.
ukitaka kujisaidia kwa raha usichungulie tundu la choo
Ukikuta kuna njia inapitika jua kuna aliyeianzisha
hii ni special nikimaanisha ya dukani..
ile unayochuma majani na kukausha mwenyewe haina hayo
mavijidudu yote ...
life goes on.....
Serikali ya TZ itapata wapi hela?
''The most pathetic person in the world is someone who has sight, but has no vision''
Serikali yako itafirisika au umesahau kwamba wavuta bangi na walevi ndio wanaoendesha nchi(wachangiaji wakuu wa kodi)
Duuuuuuuuh! Siendi tena dukani kwa mangi.
DRUNKENNESS IS NOTHING BUT VOLUNTARY MADNESS
Mbuzi tabia yake ya kupenda kula hali majani ya tumbaku,
iweje watu na akili zao wanavuta wanabwia na kutafuna Tumbaku??
Life was Simple When Apples and Blackberries were Just Fruits
Tumeanza kuvuta tangu tunazaliwa, hadi leo tunazeeka, mbona madhara hatuna?????? Isitoshe wastani wa maisha ya mtanganyika ni miaka 45 tu, mimi leo nina 65, unataka niache kuvuta niishi hadi wapi???? Mwenzako nasubiri kupiga kura ya 2015 tu, baada ya hapo, basi roho yangu halali ya kifo.
Follow Us Here