jamaa ameangukaje?
jamaa ameangukaje?
Ameanguka au ameangushwa?
Hiyo ni kata-K, au mmeona haijakaa vizuri kwakuwa amelala? Najua angesimama mngeona kawaida tu!
hao ni wale ambao wanalewa halafu wanajitegesha waliwe halafu akiamka anasema hamjanikomoa mmenaniliu pombe.mbona wako wengi siku hizi.
LIMPETA
Yaani hiyo style inaitwa tego l;a kukwepa aibu.
Follow Us Here