Vigezo na masharti kuzingatiwa..........
Hebu ntajie babu mwingine humu ndani zaidi yangu na babu mwenzangu Dark City. FYI wakati Kaizer anazaliwa binti yangu wa kujifunzia alikuwa darasa la nne enzi za TANU. Unakumbuka enzi za Amon Nsekela wewe? We si umezaliwa enzi za kina Horace Kolimba? Narudia tena ntake radhi kabla sijachakachua swaumu yako....ohooooo!
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Hahahaha huyo kijana na bi Roulette hawajawahi kujua utamu wa kupiga mziki kwa haya makitu... Kalamu za bic ndo zilitusaidia sana kuforward na kurewind.... wakumbuka??
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
"thought takes man out of servitude into freedom"
'daima tudumu katika upendo'
Ingawa wengine wanaweweseka kuwa ufisadi ulianza enzi za TANU na Mwalimu Nyerere lakini angalia material ya kadi hiyo halafu linganisha na ya CCM sasa hivi utagundua kuwa hakukuwa na uchakachuaji kama wa leo nadani ya CCM yao
Kadi laini kama biskuti , kadi inawaka kama imetiwa petroli
Ndio maana wengine siku hizi ni rahisi kuzitupa kadi zao
SEMINA ELEKEZI, Mie ntakula mpaka kulee, wewe palee na nyie paleee, Mawaziri wangu angalieni msiingiliane mpaka tutakapokutana 2015
Mkuu Asprin, achana na hawa watu wa dotcom...Watakupasua kichwa...
Huwa nikiwasimulia habari za vita yetu ya kwanza na Nduli Idd Amini ya 1972 na ile ya majuzi juzi ya 1978-79, huwa wanabaki kunishangaa wakati mwenyewe naona ni jana tu!!
Labda tuwakumbushe na zile operation za miaka ya 70.....
Ila ukweli unabaki pale pale kwamba viongozi wa miaka ile walikuwa wamefundwa!
Babu DC!!
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]
Kulikuwa na ile ya TYL. Km unaikumbuka, niambie kirefu chake.
Mightier than the sword
Last edited by Maamuma; 30th July 2012 at 18:32.
Msiwiwe na mtu chochote, isipokuwa kupendana..... Warumi 13:8.
Hiyo ninayo niliikatia pale ujiji.
Follow Us Here