Nani kasemamikokoteni ni huku kwetu tu? au maisha ya uswahilini {Uswazi) China hayapo? kabati za mbao ni km kawa na mgodoro ya Dodoma ni bora zaidi
Hapo jamaa amehama bila kumuaga Balozi mm nabaki Afrika

Sending by: BlackBerry 8100 Smartphone using JamiiForum
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
Haya bwana tena hapo ni makole karibu kabisa na CBE .
angalia background kuna vitu gani..wewe huyo ni mtu mmoja kati ya mamilioni
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
duh.........si utani mkuu............
!!..BAR ikiwa na wahudumu wa KIUME TUPU sikai dakika nyingi..!!
sasa nimepata picha ndio mana magamba wanasemaga maisha magumu hata ulaya na wajinga wanakubali .. china unafananisha na dodoma yani ufananisha inzi na mbuu we kweli 0713
Follow Us Here