You are currently viewing our boards as a guest which limits to several features of this site. You may have to REGISTER before you can make a post. By joining our community, you will be able to post comments, communicate in private with other members, download attachments and start your own discussion. Registration is FREE, simple and fast! So please, join our community today!
By Mbuzi Mzee Hii mbona poa tu. kuna vingine kinyesi kipo kinachungulia mlango yaani ukitaka kunya inabidi uvae mabuti ya mvua na usiname kwani ukikaa kinyesi na funza wanakurukia matakoni. Licha ya hapa basi, mlango gunia.
By grafani11 Ngoja nitafakari kwanza jinsi ya kuingia, hakuna nyoka kweli humu? Usiwe na wasi, hiki choo kina African bees wale wa asali na Nyoka hakai kwenye bees.
Forum Rules
Follow Us Here