...........
...........
There are some people who could hear you speak a thousand words and still not understand you. And there are others who will understand—without you even speaking a word.
kweli hii kitu balaa
No one is in charge of your happiness except you...
God time is the best..
ebwanaaa eeeh
Huyo aliyelalia tumbo huyo awe mwangalifu sana!
hao ni walevi wangekuwa wanywaji tu wasingekuwa hivyo.... hiyo kitu nzuri sana haileti kitambi.
SEMA UKWELI UMWAIBISHE SHETANI
sasa wakifanywa vibaya watasemaje
NAZI AIMENYWI ....INAKUNWA
Mie nadhani kifuatacho baada ya hizo njemba kuamka ni 'mtikisiko wa ubongo'.
Boflo mwezi wa toba huu.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
iyo mixer mtu lazima uangushe gari
CHADEMA mwendo mdundo - T 2015 CDM
he mitihaan
Chonde Chone Ulevi ni nomaaaaaaa!!!!!!
Up next? Kanumbalization.
WATANZANIA KUMCHAGUA JK, TUMEPAKA WANJA WA PILIPILI.
sasa namna hiyo cameroon akitokea hapo si anaweza kuharibu hali ya hewa.
LIMPETA
duuu kweli hii ni kituko
Hawa ni Makomba mchanganyiko namana hiyo!
Waache wanywe wasahau matatizo yao.lol!
Hamna kitu nachukia duniani kama hii ningekuwa na uwezo ningebadili mitambo yote ya kutengeneza pombe iwe ya juisi au hata maji.
ONE LOVE, ONE HEART, LET'S GET TOGETHER N .............................! !
Follow Us Here