huyo mtu wa mviringo sijapata ona lol!.................jamani ila huu ni mwez wa toba bana hebu usije ukaharibu na kutengua nia za wenzio weye Mbuzi Mzee
huyo mtu wa mviringo sijapata ona lol!.................jamani ila huu ni mwez wa toba bana hebu usije ukaharibu na kutengua nia za wenzio weye Mbuzi Mzee
Shinda Majaribu Mungu si wa Mwili ila Roho........... Yesu alikuwa hata na Machadoa akitoa Neno la Mungu kwao
Siye wataalamu hatuhangaiki na vilevi, huyo ana mikao yake, maana champagne yake inakuja jujuu hapo lazima maji aite mma. Ukijifanya una papara hapo utaambulia vibao na mangumi kwa kumpaka shombo.
Tena umenikumbusha ngoja niipandie hewani champagne yangu.
Follow Us Here