Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
hii mbona kawaida sana mkuu MziziMkavu .Tena kwa wale wanaosafiri kwenda Loliondo na mbulu wamezoea hii hali.
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
mbona hata hamna mzigo hapo!fatilia mando uone!
Usafiri wa Ki Tanzania unatisha kwenye Meli watu wanakufa kwenye Mabasi watu wanakufa sijuwi tutembee kwa miguu?... Young_Master
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Haya mabasi miaka michache iliyopita ilikuwa mtindo mmoja kwenda kwa mbele na hakukuwa na ajali za kuua kama inavyortokea mabasi ya leo ambayo yameandaliwa kwa kuhimili vishindo. Tungekuwa bado na aina hii kwa babsi ya miendo ya mbali ingekuwa hadithi zaidi ya hii ya sasa kuhusu ajali.
jamani basi ngoja nikupigie picha basi moja la king cross hili linatoka iringa kwenda mtera utachoka manakke hadi mbuzi wanapakiwa ndani ya basi. hiyo mizigo ya pakacha za karanga na ufuta usipime manake uzito wake tu unatosha kabisa kuzidi mizani basi mkifika pa kupima mizani mnashuka kabisa ili msizidi kilo na wengine wanasogea mbele wanachuchumaa. chezeya mbongo kwenye kusaka ngawira weye.............
"thought takes man out of servitude into freedom"
'daima tudumu katika upendo'
Mkuu mbona hilo pouwa sana tu?there are worst case scenarios mkuu,ndani mbuzi,kuku everything,halafu huwezi amini watu wameridhika na wanaichaguwa ccm over and over again.
"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato
Hivi si bora tungefia kwenye harakati za kuitetea nchi yetu inayoliwa na waliopewa dhamana kuliko kufa kwenye ajali za kizembe kama hizi za meli na magari kila kukicha?
MziziMkavu mbona hiyo cha mtoto
Nenda huko meatu au maswa ukutane na magari siku ya mnada au sokoni utashangaa
hiyo ni cha mtoto sana wala haitishi
When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams
MziziMkavu, enzi za Kituo cha mabasi Mnazi Mmoja n Kisutu mizigo ilikuwa zaidi ya hivi. Hasa kwa yale mabasi yaliyokuwa yakienda mikoa ya nyanda za juu kusini.
Mightier than the sword
Hapo mbona kama stendi ya babati, magari ya kwenda kiru, bashnet, dongobesh, dareda, quatabradish, hirbadaw, balangdalalu, Garawjaw, Basodesh........ kawaida sana.
WATANZANIA KUMCHAGUA JK, TUMEPAKA WANJA WA PILIPILI.
mzizi mkavu kwani kwa sasa wewe ni mwenyeji wa wapi?
Daily News halisomwi tandale kwa mtogole - MPOKI
kijijini kwetu hakuna hata hilo basi ni Punda ndio anakuwa overload.MAISHA BORA KWA KILA MTz
ASIYEUMBA HAUMBUI
Follow Us Here