Ahsante, kula mwenyewe
Heri mimi sijafanya kazi! MWE!
Teh ila ofa inatolewa si lazima ufanye kazi mkuuu
Ha ha haa! Nimeipenda dialog ya Asigwa na Bhululu
duh, anafaidi,
eeh..hiyo chakula nasikiaga ni tamu mno, ntapata wapi?
Ncha ya mkuki haipigwi ngumi, na kina cha maji hakipimwi kwa kutia miguu yote kwenye maji!!!
Mmh! Nahisi kutapika, vyra wengine wanakuwa wakitoa kama maziwa na utomvu fulani mmh! kuleni jamani nitakual mchunga
japo ni mkali nitakamua, kama wengine wanavyosema,'' maisha, mchunga, usipokamua huli'' nitakamua kuliko chura,lol!
Follow Us Here