Hebu angalia vizuri macho ya huyu jamaa halafu funguka useme yaashiria nini?
Attachment 59306
Huu Urembo unanishangaza...
Taabu ya usafiri unafundisha dada zetu ukakamavu....
Face book inaleta balaa makazini...
Hebu angalia vizuri macho ya huyu jamaa halafu funguka useme yaashiria nini?
Attachment 59306
Huu Urembo unanishangaza...
Taabu ya usafiri unafundisha dada zetu ukakamavu....
Face book inaleta balaa makazini...
Ole wako uwe umekula Ugali Maharage!!!!!!
...but what MAN is entirely without Evil intent in the Silence of his Soul???
Yuko yuuu !
Charlie Chaplin alikuwa anaact ukomedi kuhusiana na real life ya watu, nchi, alikuwa ni mtu fulani kama wa kipolitics hivi, alikuwa anaonyesha problems watu walizokuwa wanazipata that time kwenye jamii, ana tofautiana kidogo na Bean, yaani Bean vituko vyake ni vituko vya kichizi hasaa, Bean, ni stress remover wangu mkubwa Duniani
Duuh! Yethu na Maria na Yosefu Mchumbaake!!!!!!! Hizo Rozari zimeibiwa Parokia gani aiseeeeh!
WATANZANIA KUMCHAGUA JK, TUMEPAKA WANJA WA PILIPILI.
Follow Us Here