You are currently viewing our boards as a guest which limits to several features of this site. You may have to REGISTER before you can make a post. By joining our community, you will be able to post comments, communicate in private with other members, download attachments and start your own discussion. Registration is FREE, simple and fast! So please, join our community today!
Anayehitaji ani PM ninazo za kumwaga! Bei poa.
Mkuu........zinapatikana wapi hizi..........lolest!!!
Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote za maisha yangu.....Zab 23:6
By GIUSEPE Anayehitaji ani PM ninazo za kumwaga! Bei poa. mkuu GIUSEPE, remote hii inatofauti gani na remote za kawaida?
By mhalisi mkuu GIUSEPE, remote hii inatofauti gani na remote za kawaida? Angalia vizuri buttons zake.
By GIUSEPE Anayehitaji ani PM ninazo za kumwaga! Bei poa. samahani nisaidieni kunitoa tongotongo, rimote hizi zina kazi gani kwa wamama?
By GIUSEPE Angalia vizuri buttons zake. nimegundua utofauti.
By mhalisi mkuu GIUSEPE, remote hii inatofauti gani na remote za kawaida? Tatizo la wabongo hamchunguzi kwanza, mnapenda kila kitu mtafuniwe nyinyi mmeze. Ikuze halafu angalia buttons utajua maana yake.
Forum Rules
Follow Us Here