sasa wakale wapi? we kama unayo unawapa tu .. sasa unakuta mibongo mingine inaenda kukwea pipa na chenji za taksii, tumia pesa ikuzoee.
Moola's the motive
Mimi askari airport ya egypt aliniomba dola 10 iliyokuwa nimeiweka katika makolokolo yale yanayopita kwenye mashine wakati wa ukaguzi....wafanyakazi wa airport ufikiri kila msafiri anazo!!!
..subiri ule wa Dhaifu bwagamoyo uishe uone watakuwa wanaomba nini ??
Kinshasa Airport hawaombi; wanadai. Kwenye sehemu ya ukaguzi niliulizwa: "uko tayari kulipa upite bila kukaguliwa au tumwage vitu vywko vyote kwa ukaguzi?"
Sina utaalamu wakusoma picha ila kwa upeo wangu, Njaa ni hali ya ajabu sana inaweza kukuvua utu wako. Hebu mwangalie huyo afisa uhamiaji! Duh.
Success Requires No Explanations, Failure Permits No Alibis- Napoleon Hill
Hawa sea urchins wanapangusa hata ile shilingi 2,000 or so inayobaki katika kulipia kodi ya airport kama hujaja na chenji kamili na umetoa 20,000. Halafu hawana hata noma wanafanya hivyo baada ya kukuharass sana tu.
Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.
Jamaa wana njaa kwelikweli, kuna jamaa mmoja alifika pale wakaanza kumuomba dollars sasa akawa ana dola kubwa kubwa alitaka awape kidogo kwahiyo akaacha kuwapa wakamwambia "ok". Aliposhuka Dar begi lake halikuwepo. Na kabla ya hapo alishataarifiwa na wenzake wazoefu wa kwenda huko kuwa ahakikishe anawapa yeye akadhani ni utani.
Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao, ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda (Mithali 3:27)
Huwa nawakaushia nakujifanya sifahamu....eboh
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Jifunzeni kutoa hata kidogo ili muongezewe.
Heheheh
kuna wakulima humu jf wanadhani kila wanayemwona airport ni afisa uhamiaji.
Ndo mana pafyume na lotion zetu wanang'ang'aniaga!!
,,,,,,,,Jisachi
Ngoja nisubiri Pdiddy aje kujibu tuhuma humu
Follow Us Here