JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Watamjuaje?
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Gari yenyewe inahusika pia, ushaweka tofauti njiani si mbaya pia ukiweka tofauti kwenye plate number.
Le Mutuz 2015 ...hii itatinga mtaani muda si mrefu ujao.
Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
wabongo noma
ngoja nami nifanye mchakato
Mie nachosikitika hilo pato la serikali linakuja kuishia kwenye midomo ya wachache.
Hawa TRA wanataka kujenga matabaka katika nchi yetu najua matabaka yalikuepo lkn sasa wanataka kuyaonyesha wazi wazi.Hivi ni mimi mzee wa Katavi ntaweka plate namba ya jina langu kwenye gari yangu ya Starlet tena niliyoinunua kwa mkopo wa bank.Sio wanataka tuwajue mafisadi vizuri ili tuendelee kuwaabudu
There is a saying in aviation "You haven't crashed until you've crashed. Until then, keep flying the plane".
Waliwahi kunena "Nchi itajengwa na wenye moyo na italiwa na wenye meno" upo hapo!?
Ukombozi haupatikani mezani!!
yaani huyu buzi likikata kama lazima arudi tra ktafuta T100DAA.
kwa sababu hiyo namba ukikaa miaka 5=milioni 25.
kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.
I saw that car yesterday...
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
Naona Delina group imekuwa ya kwanza kujitosa!!!
Mkiiona Mercedes G55 imeandikwa Gaijin 007 ......msisite kunisalimia
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te
Follow Us Here